GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndiyo, ni futuhii 😂Naona mnasajili futuhi[emoji1][emoji1][emoji1]
Tuliza kipwinto kwanza hili ni dirisha dogo tu ngendembwe zanini sasa, acha muda uamue wewe...Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu mluguru Wetu ili abadilike kwa Kufungwa Magoli ya Kizembe (Kipuuzi) hapa GENTAMYCINE ningekuwa na amani ya Moyo na mwenye furaha na hata tarehe 9 April, 2023 ningetizama Derby bila Hofu.
Hongera kwa kutoka Sare huko UAE.
Pamoja na ku flop huwezi linaganisha Mazembe na timu za bongo mwaka jana wamefika semi final na uchovu wao kitu ambacho ni ndoto kwa timu zetuTP Mazembe ya sasa inasajili kina Mpepo, Singano na Ulimwengu aliyechoka, siyo ile ya Samata
Akili siyo kitu cha kukosa. Aliyekuambia katokea Mazembe ni nani?Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo...
shida ni pesa hakunaNingeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu mluguru Wetu ili abadilike kwa Kufungwa Magoli ya Kizembe (Kipuuzi) hapa GENTAMYCINE ningekuwa na amani ya Moyo na mwenye furaha na hata tarehe 9 April, 2023 ningetizama Derby bila Hofu.
Hongera kwa kutoka Sare huko UAE.
Kwahiyo katokea chato?Akili siyo kitu cha kukosa. Aliyekuambia katokea Mazembe ni nani?
Tp mazembe ya sasa inayogombania wachezaji na utopolo?????!!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TP Mazembe ya sasa inasajili kina Mpepo, Singano na Ulimwengu aliyechoka, siyo ile ya Samata
Ungeletewa wewe kama nani? Ondoa uwendawazimu wako hapaNingeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati
Baleke hajauzwa kaletwa simba kwa mkopoUyo baleke alipelekwa na tp mazembe arabuni kwa mkopo sasa cha ajabu Mazembe imeachana nae ikawauzia simba, kwa mtu mwenye akili timamu lazima achekeche ubongo wake afikilie nje ya box Mazembe inashiriki kombe la shirikisho Afrika, itamuuzaje mchezaji ambae yuko vizuri na cha ajabu zaidi wamemuuza uyu kwa bei ndogo wakaenda zambia kumsajili mshambuliaji Mwingine Alex ngonga, iyo kitu inawezekana? Gharama waliyotumia kumsajili Ngonga si wangembakisha Baleke, hawa jamaa nimeamini Mhindi wa bombay kagoma kutoa fungu la usajili wamebaki kuokota makapi kwa bei kitonga
Bure? Hatacheza?Baleke hajauzwa kaletwa simba kwa mkopo
Ndo unauliza nini sasa? Mi nimesema kaja kwa mkopo sa jiulize unachouliza ni niniBure? Hatacheza?