Bahati mbaya mpira ni kazi. Kumsajili mchezaji majeruhi ambaye mnafahamu hataweza kucheza kwa muda mrefu, ni sawa na kuajiri mfanyakazi hewa kama walivyokuwa Yacuba Sogne, Tuisila Kisinda na akina Molinga kule Utopolo. Hatufanyi makosa yale tena.Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu mluguru Wetu ili abadilike kwa Kufungwa Magoli ya Kizembe (Kipuuzi) hapa GENTAMYCINE ningekuwa na amani ya Moyo na mwenye furaha na hata tarehe 9 April, 2023 ningetizama Derby bila Hofu.
Hongera kwa kutoka Sare huko UAE.
Kocha ndiye anaamua aina ya wachezaji wa kusajiliwa kutokana na mahitaji yake Kitaalamu, si mashabiki kama sisi. Amekuwa na Manzoki, anamfahamu. Hakuwa chaguo lake na huko aliko ni majeruhi wa muda mrefu.
Yule mganda alikula mshahara wa Bure muda mrefu sana alipopata majeraha na hakuweza kuendelea na mkataba. Tuna experience hiyo tayari.
Bahati mbaya sana Manzoki ni majeruhi wa muda mrefu. Simba hatupo tayari kusajili #MfanyakaziHewa kama majirani zetu. #TaddeoLwanga alitumia na mchango wake ulihitajika sana, aka nje muda mrefu akila mshahara wa Bure. Huo upuuzi hautakiwi kurudiwa. Sajili zinafanywa kwa mahitaji na ushauri wa kocha na baada ya kufanya scouting kujiridhisha kuwa walengwa wanaokidhi matarajio yetu.Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu mluguru Wetu ili abadilike kwa Kufungwa Magoli ya Kizembe (Kipuuzi) hapa GENTAMYCINE ningekuwa na amani ya Moyo na mwenye furaha na hata tarehe 9 April, 2023 ningetizama Derby bila Hofu.
Hongera kwa kutoka Sare huko UAE.
Hatuwezi kuwazungumzia TPMAZEMBE. Wamepitia kipindi kigumu sana. Si wale unaowafahamu wa enzi zile.