Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Yaani aliyechukuliwa kwa mkopo ana tofauti gani na aliyenunuliwa? Tuisila na Feisal tofauti yao ni ipi?Ndo unauliza nini sasa? Mi nimesema kaja kwa mkopo sa jiulize unachouliza ni nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani aliyechukuliwa kwa mkopo ana tofauti gani na aliyenunuliwa? Tuisila na Feisal tofauti yao ni ipi?Ndo unauliza nini sasa? Mi nimesema kaja kwa mkopo sa jiulize unachouliza ni nini
Tofauti ni kua sio mchezaji wako ni mali ya Tp mazembe wakipata deal kubwa wanamuuza tu.Yaani aliyechukuliwa kwa mkopo ana tofauti gani na aliyenunuliwa? Tuisila na Feisal tofauti yao ni ipi?
Haya sawa, nilitaka nijue upeo wako katika mambo ya mikataba. Kwa sasa inatosha, nimeshajuaTofauti ni kua sio mchezaji wako ni mali ya Tp mazembe wakipata deal kubwa wanamuuza tu.
Punguza ujuaji kwenye kila kitu!Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu mluguru Wetu ili abadilike kwa Kufungwa Magoli ya Kizembe (Kipuuzi) hapa GENTAMYCINE ningekuwa na amani ya Moyo na mwenye furaha na hata tarehe 9 April, 2023 ningetizama Derby bila Hofu.
Hongera kwa kutoka Sare huko UAE.
Mwambie huyo mjane asiishi kwa kukariri.Uletewe? Popoma Unadhani club inatumia maji kusajili?
TP MAZEMBE hawako juu kama zamani, wana hali ngumu kifedha.
Lawama za kishenzi hizi.
Rubbish and Nonsensical.Punguza ujuaji kwenye kila kitu!
Huyo Baleke katoka TP kwa nguvu za pesa, ni mchezaji mzuri mno ambaye TP wangetamani kubaki naye lakini nguvu ya pesa imewashinda. Ifike wakati tuziheshimu team zetu, wachezaji kibao ndani ya EAC wanatamani kuja kucheza hapa nchini kwasababu ya malisho mazuri na amshaamsha za mashabiki viwanjani na mitandaoni so unapoona mchezaji kaja nchini siyo kwamba kaisha au hana kitu mguuni ila ni mvuto wa ligi na malipo yetu unafanya wachezaji wazuri watamani kuja. Tp hii siyo ile unayoifahamu, hana misuli tena ya kushikilia wachezaji wazuri.
Mpeni muda Baleke aoneshe thamani yake uwanjani na sikuja na mabandiko ya kijinga kabla hata ya kumuona mchezaji mwenyewe.
Thomas Ulimwengu apate namba alafu Baleke akose!!!???26B za Mbet
20B za Mo
Kweli timu inakosa hata mchezaji aliye kwenye peak mpaka mnaokota magarasa yaliyokuwa hayapati namba?.
Mkiwa siku zenu huwa mnahasira sana.Rubbish and Nonsensical.
Bajeti ya kwenda Dubai ( UAE ) ingeminywa na Timu ibakie hapa hiyo Hela tungewapata Wachezaji Wazuri na Wakubwa tunaowataka ambao bahati nzuri Yanga SC wamebahatika Kuwapata na Sisi tumepata Mikapi tupu tu na wala hatushtuki?Wakati mwingine binadamu hatupati vile tunavyovitaka na kuvitamani.
Akili za utopolo utazijua tu. Kubishana na watu kama nyie ni kupoteza muda.Uyo baleke alipelekwa na tp mazembe arabuni kwa mkopo sasa cha ajabu Mazembe imeachana nae ikawauzia simba, kwa mtu mwenye akili timamu lazima achekeche ubongo wake afikilie nje ya box Mazembe inashiriki kombe la shirikisho Afrika, itamuuzaje mchezaji ambae yuko vizuri na cha ajabu zaidi wamemuuza uyu kwa bei ndogo wakaenda zambia kumsajili mshambuliaji Mwingine Alex ngonga, iyo kitu inawezekana? Gharama waliyotumia kumsajili Ngonga si wangembakisha Baleke, hawa jamaa nimeamini Mhindi wa bombay kagoma kutoa fungu la usajili wamebaki kuokota makapi kwa bei kitonga
Wewe jamaa muongo. Huyo mchezaji hana nafasi katika kikosi cha TP Mazembe na akapelekwa timu ya Lebanon kwa mkopo. Na hata Simba wamechukua kwa mkopoPunguza ujuaji kwenye kila kitu!
Huyo Baleke katoka TP kwa nguvu za pesa, ni mchezaji mzuri mno ambaye TP wangetamani kubaki naye lakini nguvu ya pesa imewashinda. Ifike wakati tuziheshimu team zetu, wachezaji kibao ndani ya EAC wanatamani kuja kucheza hapa nchini kwasababu ya malisho mazuri na amshaamsha za mashabiki viwanjani na mitandaoni so unapoona mchezaji kaja nchini siyo kwamba kaisha au hana kitu mguuni ila ni mvuto wa ligi na malipo yetu unafanya wachezaji wazuri watamani kuja. Tp hii siyo ile unayoifahamu, hana misuli tena ya kushikilia wachezaji wazuri.
Mpeni muda Baleke aoneshe thamani yake uwanjani na sikuja na mabandiko ya kijinga kabla hata ya kumuona mchezaji mwenyewe.
Jamaa kashusha page ndefu ya uongo😂😂Wewe jamaa muongo. Huyo mchezaji hana nafasi katika kikosi cha TP Mazembe na akapelekwa timu ya Lebanon kwa mkopo. Na hata Simba wamechukua kwa mkopo
Haelewi kitu huyo, wameona nao waijibu Yanga kwa kumleta Chiko Ushindi waoWewe jamaa muongo. Huyo mchezaji hana nafasi katika kikosi cha TP Mazembe na akapelekwa timu ya Lebanon kwa mkopo. Na hata Simba wamechukua kwa mkopo
Komaza fuvu hapa Sasa.Thomas Ulimwengu apate namba alafu Baleke akose!!!???