TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

Ndo unauliza nini sasa? Mi nimesema kaja kwa mkopo sa jiulize unachouliza ni nini
Yaani aliyechukuliwa kwa mkopo ana tofauti gani na aliyenunuliwa? Tuisila na Feisal tofauti yao ni ipi?
 
Yaani aliyechukuliwa kwa mkopo ana tofauti gani na aliyenunuliwa? Tuisila na Feisal tofauti yao ni ipi?
Tofauti ni kua sio mchezaji wako ni mali ya Tp mazembe wakipata deal kubwa wanamuuza tu.
 
Ulisema Saidoo ni makapi hafai, mechi yake ya kwanza tu akaweka hat trick na assist, ajabu bado hujaacha tabia yako ya kukurupuka..
 
Punguza ujuaji kwenye kila kitu!
Huyo Baleke katoka TP kwa nguvu za pesa, ni mchezaji mzuri mno ambaye TP wangetamani kubaki naye lakini nguvu ya pesa imewashinda. Ifike wakati tuziheshimu team zetu, wachezaji kibao ndani ya EAC wanatamani kuja kucheza hapa nchini kwasababu ya malisho mazuri na amshaamsha za mashabiki viwanjani na mitandaoni so unapoona mchezaji kaja nchini siyo kwamba kaisha au hana kitu mguuni ila ni mvuto wa ligi na malipo yetu unafanya wachezaji wazuri watamani kuja. Tp hii siyo ile unayoifahamu, hana misuli tena ya kushikilia wachezaji wazuri.
Mpeni muda Baleke aoneshe thamani yake uwanjani na sikuja na mabandiko ya kijinga kabla hata ya kumuona mchezaji mwenyewe.
 
Uletewe? Popoma Unadhani club inatumia maji kusajili?

TP MAZEMBE hawako juu kama zamani, wana hali ngumu kifedha.

Lawama za kishenzi hizi.
Mwambie huyo mjane asiishi kwa kukariri.
 
Rubbish and Nonsensical.
 
26B za Mbet
20B za Mo
Kweli timu inakosa hata mchezaji aliye kwenye peak mpaka mnaokota magarasa yaliyokuwa hayapati namba?.
Thomas Ulimwengu apate namba alafu Baleke akose!!!???
 
Wakati mwingine binadamu hatupati vile tunavyovitaka na kuvitamani.
Bajeti ya kwenda Dubai ( UAE ) ingeminywa na Timu ibakie hapa hiyo Hela tungewapata Wachezaji Wazuri na Wakubwa tunaowataka ambao bahati nzuri Yanga SC wamebahatika Kuwapata na Sisi tumepata Mikapi tupu tu na wala hatushtuki?

Aliyetuambia ( Aliyetuiita ) wana Simba SC ni Mbumbumbu hakukosea na ikiwezekana ajengewe Sanamu yake kwa kusema Ukweli wake huo bila ya Unafiki.
 
Timu zikiendeshwa kwa matakwa ya mashabiki au kusajili kwa matamanio ya fans basi timu zingekuwa na wacgezaji bilioni moja,sa sjui wangecheza wapi??..

Kwa mfano mimi nlitamani aje full beki kushoto ya asec mimosah kumpa challenges zimbwe jr,mwingine angetamani aje zemanga soze sjui nani,yanga wangetamani aje bobosi sjui..

Mwisho wa siki usajili haupaswi kuwa matakwa ya mashabiki,coz tuko usajili ni kazi ya benchi la ufundi.

HAKUNA KITU SIKIPENDI KAMA USHABIKI WA KUPINDUKIA,UNAWEZA KUJA KUWA CHIZI KISA KAZI ZA WATU WENGINE.
 
Akili za utopolo utazijua tu. Kubishana na watu kama nyie ni kupoteza muda.

Mchezaji hajacheza mechi hata Moja tayari mumeshakaza mishipa ya shingo kukosoa huo usajili.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Soka ujuaji mwingi...
Nasema subirini timu ikomae falsafa ya Robertino...
Kuna watu watatamani wakachezee ligi ya KENYA...
 
Wewe jamaa muongo. Huyo mchezaji hana nafasi katika kikosi cha TP Mazembe na akapelekwa timu ya Lebanon kwa mkopo. Na hata Simba wamechukua kwa mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…