TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

[emoji3][emoji3][emoji3] Rais aliyetangulia aliluwa mbabe na mwenye vitisho kwa sababu ya kuficha mapungifu yake. Kamwe hakupenda kukosolewa, na neno kutoka mdomoni mwake na uelekeo wa kidole chake vilikuwa ni amri tosha. Haikuipebda CDM kuliko kitu chochote kile.
 
Kama wadau hawajakuelewa vile!
Ila ujumbe umelenga Bull!
Hayo maeneo Mama anahitajika kuangalia kwa macho makubwa
 
wewe lini hovyo kwelli madudu wafaanye ccm na serikali yange lawama uwatupie chademaa,, mzima kwelii wewe au mirembe inakuuhussuu
 
Hujua utendaji kazi serikalini.
 
Chadema ipi? Mwendazake si aliua kila kitu!!! Jamaa alidhani ataishi milele kaua upinzani ili ale manono ya nchi hii bila kupigiwa kelele. Cha kushangaza naye kafa miezi minne baadae. Mungu aziakiwi, similar scenario as in the Holy Bible Lk 12:20-21 - “But God said to him, ‘You fool! This very night your life will be demanded from you. Then who will get what you have prepared for yourself? This is how it will be with whoever stores up things for themselves but is not rich toward God.”
 
Joni leo unaikana nyumba yako?
 

Ha ha ha ha I

Unamsema mwendazake?
 
Wachache sana watakuelewa ukichokiandika. Wakurupukaji watakutukana kwa kutoa elewa philosophical idea uliyoitumia[emoji3]
 
Yan sijakuelewa..mama Samia ndo chadema ama chadema wanahusika nini hapo wakati serikali inayoyasimamia Ni ya CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…