BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Si Wabunge wa Chadema walikuwa Bungeni Bwashee au ndiyo dishi limeyumba? Yule dhalimu na dhulumat kwa kushirikiana na mgonjwa ndugai ba tulia kika siku walikuwa busy kuwafukuza bungeni, kuwafunga na kuwabambikia kesi fake ili tuwe wasiwemo mjengoni. Acha kuonyesha ujuha hadharani Bwashee kama huna la maana la kuandika piga kimya.
Kwani wakati Dr Slaa anafichua ufisadi alikuwa madarakani?