TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

TPA wamepokea tuzo kwa kuwa shirika bora Tanzania, jamani ni aibu kulete DP kwa kweli

Suala la bandari ni uelewa mdogo wa watanzania: Professor Mussa Assad former Controller and Auditor General

Quote

Assad ni mtaalam wa hesabu na uchumi siyo sheria. Ila magwiji wa sheria na waliofundisha wanasheria wengi nchini Issa Shivji na wengine wengi wamesema mkataba ni mbovu.

Hata huyo Assad, ambaye hata mm namkubali, katika kujibu kwake, hajajibu yanayo ulizwa. Assad Naye unamwonea tu, maana hata kipindi cha mwenda zake alisema 1.5t zimechotwa visivyo, alipoulizwa na mwenyewe kuwa hayo ni kweli ama siyo kweli, alijibuje?

Watu wote hawana shida na dp world, shida ipo kwny mkataba.
 
Back
Top Bottom