TPA yapeana tender nyingine kwa SECO Engineering ya Kenya

TPA yapeana tender nyingine kwa SECO Engineering ya Kenya

Olliver Seid

Member
Joined
May 12, 2017
Posts
51
Reaction score
125
The construction of three boats ordered by Tanzania Ports Authority to Kenya's SECO Engineering

Kenya-based Southern Engineering Company (SECO) has cut the first steel for three pilot boats in a series ordered by the Tanzania Ports Authority (TPA).

The BV-classed vessels were designed by Southerly Designs of Western Australia. Each will have a length of 20 metres, a beam of 5.5 metres, a draught of 1.7 metres, and a maximum speed of 20 knots.

Constructed in steel with an aluminium superstructure, the pilot boats will each have seating for two crew and up to 12 passengers, while accommodation for three crew will be provided below deck.

Delivery of the vessels is scheduled for the fourth quarter of 2020.

FB_IMG_15953502475482801.jpg
FB_IMG_15953502151123498.jpg
FB_IMG_15953502099197407.jpg
FB_IMG_15953501618663717.jpg
FB_IMG_15953501192345351.jpg
 
Jambo la kawaida katika biashara. SECO Engineering wapo vizuri upande wa kazi za Marine kupewa hiyo tender hakuna la kubeza.

Kwenye mchakato wa tender tukijua alishindanishwa na nani kisha akashinda sie hatuna neno?

Maana hata sisi huku tuna kampuni ya Eristic Marine kuna boti inaitwa ulinzi huwa inatumika Dar Port ni boti nzuri, hata hizo pilot boat angeweza kuunda.
 
I can see you know your stuff
 
I can see you know your stuff
Pamoja sana mkuu, +255 na +254 kwenye marine tunashirikiana sana.

Kipindi cha nyuma na hata sasa meli na ferry za Tanzania huwa zinakuja Dock huko Mombasa.

Miaka ya nyuma kuna watanzania walikuja Bandari Marine Academy kuwafundisha mabaharia wa Kenya.

Na hata mimi nataka nije niwafundishe vijana hapo Bandari Maritime Academy.
 
Tungekuwa na mtazamo kama huu, hii region ingekuwa mbali sana. Tutafute yanayotuleta pamoja, kuliko yanayotugawa.
 
As SECCO can't be relied on shipbuilding! Only patrol- and tugboats and barges!

Look at what Songoro marine is doing, three ferries at a go!

Mkuu licha ya Songoro Marine kuwa ndiye Shipbuilding anayefanya kazi nyingi hapa Tanzania.

Kajisahau sana kwa kukosa mshindani kwenye kazi. Hii imepelekea kutokuwa na ubunifu mkubwa,kukimbizana na teknolojia ya kisasa kwenye ujenzi wa meli.

Miaka ya nyuma Mwanza kulikuwa na Mzungu yule aliyejenga Vivuko vya Kamanga Ferry, ukilinganisha ubora wa zile meli na alizojenga Songoro utaona namna Songoro alivyokuwa kaachwa nyuma kwa ubora.

Ili Songoro awe Giant Shipbuilder inabidi akubali kufanya Joint Venture na Shipbuilders wa nje kwenye project zake ili ajifunze teknolojia za kisasa.Afanye kazi na vijana walisoma Naval Architecture siku za karibuni ili kuongeza ubunifu.
 
Does pilot boat need to be 20 meters long? Or these are tug boats?
Pilot boat ni boti inayotumika kumpeleka pilot kwenye meli na iwe na uwezo wa kuhimili hali ya dhoruba nje ya eneo la bahari ili inapokuwa kwenye zoezi la kumpandisha pilot na kumshusha kuwe na usalama.

Pilot boat inatakiwa urefu kuanzia mita 10 mpaka 25 kadri ya uelewa wangu. Mita zaidi ya 25 inakuwa ni matumizi mabovu ya rasilimali.

Tug boat ni boti ambayo hutumika kusukuma meli kubwa (push,pull,tow) inapo ingia bandarini na kupaki kwenye gari kutokana na meli kubwa kutokuwa na uwezo wa kugeuka haraka au kupaki (Manoeuvre). Tug boat lazima iwe na uwezo mkubwa wa manoeuvre,injini yenye nguvu hapa unakutana na 600Hp mpaka 20,000Hp.Tug boat inauwezo wa kuvuta meli iliyokwama au kuvuta barges (Teshali) za mizigo.
Pia tug boat inaweza kutumika kama Pilot boat endapo kuna dharura.Ila Pilot boat haiwezi kufanya kamwe kazi ya tug boat.

Tofauti kuu ya pilot na tug ni kuanzia matumizi mpaka kwenye nguvu.

Sorry kwa kujibu kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom