Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Jun 13, 2026 #1 Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala. Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu. Hawa ni kutoka kule na siwezi kuonesha IP ila inatoka mlipo mleta na ndege yenu kuwa urafiki mzuri.
Siwezi shangaa maana kwa utawala huu wanaimba na kuabudu walicho ambiwa na mtawala. Sasa kuna nguvu kubwa sana ya matepeli na inaonesha wale wale mlio mleta na ndege yenu. Hawa ni kutoka kule na siwezi kuonesha IP ila inatoka mlipo mleta na ndege yenu kuwa urafiki mzuri.