KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Haya sasa.Loo!!! post hii ndiyo nimeiona leo kweli hata mimi mwenyewe ninasikitika sana!!!Mambo ni mengi sana katika kutafuta rizki ya kila siku!!!
Ulikuwa unafukunua nini hadi ukafika huko wakati huu mkuu 'Echolina'!
Uzuri wa JF ndio huu. Hata uchelewe miaka mingapi, habari utaikuta tu, na ukitaka kuchangia kwa wakati wako unajimwaga tu.