Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Tarehe 29 ya mwezi wa sita M23 wameichukua Kanyabayonga Kaskazini mashariki mwa Congo na wanaelekea Butembo. Sasa naona wanacheza karibu na nyumbani ili likitokea la kutokea wakimbilie nyumbani kwao.
M23 waliichukua Kanyabayonga ijumaa baada ya wiki mbili za mapigano na vikosi vya serikali ya Congo.
Msemaji wa M23 Willy Ngoma aliwaambia raia jumamosi hii kuacha kukimbia kwenye maeneo yao kwasababu wana malengo ya kwenda hadi Kinshasa, akadai hamuwezi kukimbia milele.
Hiki ni kiburi, TPDF hebu sogeeni hapo tuone watasemaje tena.
Kanyabayonga, ni nyumbani kwa zaidi ya watu elfu 60, na ni mji wa kimkakati kwakua uko Kaskazini mwa maeneo ya mapambano, Kaskazini mwa Jimbo la Kivu. Ni mji ambao ni lango kubwa la kibiashara kwa miji ya kibiashara Kama Butembo na Beni.
Viongozi wa maeneo hayo wanasema ni zaidi ya wanamgambo 4000 wa M23 waliouvamia mji wa Kanyabayonga. Na Mimi naona safi, hapa ndio pa kuchapa, tutengeneze Brenda ya nyama za watu.
Kwasababu ya Logistics tu! Majeshi hayakuweza kufika kwa wakati hayo maeneo. Majeshi yetu yapo Kama kilometer 20 kutoka hapo.
Wazee tuwape mambo, acha raia waondoke kwanza halafu tumwage moto hapo.
Kagame muda huu ni kumpa tabasamu la kwenye kioo, chapa mpaka akili ikae sawa.