TPDF malizieni kazi, M23 wamejikusanya karibu na nyumbani kwao Kanyabayonga na wapo Kama wote!

Mkuu vita ikitokea jeshi lifanye kazi,sasa nini maana ya mgawanyo wa kazi?
Mwalimu anafanya kazi ya kufundisha,daktari pia anafanya kazi ya kutibu,mkulima analima na wengine wenye kazi wanafanya,kwanini jeshi nalo lisiwaziwe suala la kama vita ikitokea?
Vita vitokee,ni sawa tu maana tuna jeshi ambalo tena hulipwa,halijitolei,na malipo hayo yanatoka kwenye kodi ZETU,kwahiyo lazima kwa lolote tujihisi tuko salama,maana walinzi wapo wanatakiwa kutimiza wajibu wao kama wasiokua wanajeshi wanavyotimiza.
Brother this is not a movie , is a real life. Just because tuna jeshi haimaanish jeshi li seek kupigana na nchi nyingine.
Lazima ujue implication, impacts for doing that.

Nchi zote africa yote leo hii nchi zingekuwa at war kama kila jeshi linataka kupigana na mwenzake just tu because una uwezo huo. For war to happen lazima kuwe na genuwine reason sio kukurupuka
 
Tarehe 29 ya mwezi wa sita M23 wameichukua Kanyabayonga Kaskazini mashariki mwa Congo na wanaelekea Butembo. Sasa naona wanacheza karibu na nyumbani ili likitokea la kutokea wakimbilie nyumbani kwao.

c68f6ce3e6a2873ccd1941d9ac07331d

M23 waliichukua Kanyabayonga ijumaa baada ya wiki mbili za mapigano na vikosi vya serikali ya Congo.

Msemaji wa M23 Willy Ngoma aliwaambia raia jumamosi hii kuacha kukimbia kwenye maeneo yao kwasababu wana malengo ya kwenda hadi Kinshasa, akadai hamuwezi kukimbia milele.

Hiki ni kiburi, TPDF hebu sogeeni hapo tuone watasemaje tena.

Kanyabayonga, ni nyumbani kwa zaidi ya watu elfu 60, na ni mji wa kimkakati kwakua uko Kaskazini mwa maeneo ya mapambano, Kaskazini mwa Jimbo la Kivu. Ni mji ambao ni lango kubwa la kibiashara kwa miji ya kibiashara Kama Butembo na Beni.

Viongozi wa maeneo hayo wanasema ni zaidi ya wanamgambo 4000 wa M23 waliouvamia mji wa Kanyabayonga. Na Mimi naona safi, hapa ndio pa kuchapa, tutengeneze Brenda ya nyama za watu.

Kwasababu ya Logistics tu! Majeshi hayakuweza kufika kwa wakati hayo maeneo. Majeshi yetu yapo Kama kilometer 20 kutoka hapo.

Wazee tuwape mambo, acha raia waondoke kwanza halafu tumwage moto hapo.

Kagame muda huu ni kumpa tabasamu la kwenye kioo, chapa mpaka akili ikae sawa.
Shida ni hao UNAMID.
Hao ndio waratibu wa kila jambo,wanachelewesha mambo.
Ndio maana Tsishekedi amewataka waondoke,kama isingekuwa hilo jeshi la UN tungeshawasambaratisha hao M23.
 
Hao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
2007 hao Alshabaab walijaribu kufanya uharamia katika ghuba ya Pemba kuelekea Mombasa,kilichowakuta mpaka leo sidhani kama waliyatamani maji ya TZ.
 
Hao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
Vita ya somalia ni tofauti na vita ya congo..

Magaidi siku zote hawaenda frontline.. Ukiwa somalia unaweza kupishana na ustazi kavaa kilemba fresh anatoka 5 star hotel subiri dk 2 uskilizie mlipo wake humo ndani.. Wale wanavaa fresh ila mwilini wamevaa mikanda ya mabomo..

Somalia wanapigana vita ya jihadi so ni ngumu sana kuwashinda
 
Somalia ni pagumu mtot anaweza kukumiinia njugu
 
Ishu ya m23 iko very complicated kuliko waswahili wengi mnavyo dhani.
M23 wa 2014 sio hawa wa 2024. Hawa ni ni jina tu ndilo linadumu ila robo tatu ya wpiganaji wa m23 unao waona leo mwaka 2014 hawakupigana vita hiyo maana wlikuwa wadogo sana kiumri kati ya darasa la nne na tano wkti huo. Lakini pia zipo tarifa kwamba katika kila wpignaji 5 wa m23 wawili kati yao ni waajiriwa wa RDF wakitekeleza sehemu yao ya majukumu ya kitifa.
M23 ya leo iko more advanced na powerfull kwa kila angle mara 10 ya ile ya 2014 kwa organization, tactic, nidhamu, training, ubora wa silaha,mbinu nk.

Nguvu na ubora walionao leo inatokana na utafiti walioufanya chini ya ufadhili wa Rwanda juu ya sababu za kupoteza mpambano wa kwnza. Wameumiza vichwa, wamejifua, wameiva na sasa wamerudi kuanzia pale walipoishia.

Hawa sio wa kuwachukulia powa mana hawataki kurudia kosa la awali, kwa sababu hiyo ndio maana utawaona saivi wamekuwa tofuti sana.

M23 ya leo sio kama ya 2014 iliyokuwa inasaidiwa na Rwanda na Uganda, hii ya leo Rwanda haisaidii bli iko full engaged sio tu kusaidia bali kushiriki kikamilifu moja kwa moja katika vita huku Uganda ye akisapoti kimyakimya.

Ndio maana this time majeshi ya SADC yanapata wakati mgumu ku advance dhidi ya m23 iliyoboreshwa.
Imefikia hatua wa south Africa katika kikosi cha SAMIDRC wanapigika ht wanashindwa kujitetea. Juzi tu askari wa s. Africa wengine 2 wameuwawa na wengine zaidi ya 15 kujeruhiwa katika mfulutizo wa mashambulizi ya m23.

Unaweza kujiuliza SAMIDRC tangu mwezi Februari imefika DRC imefanya nini ? Majeshi ya srikali yanayosaidiwa na wapiganaji lukuki kutoka majeshi yaukanda na vikundi mbalimbali yamekuwa yakipoteza maeneo kila kukicha.
Kila mpambano unaotokea lazima m23 washinde, jiulize why?
Kwa kifupi lazima ukubali kuwa m23 wa leo ni hatari sana sio kama wale wa 2014.
Baada ya kupigika mwaka 2014 walienda kujitafuta upya na sasahivi wamejipata sana.
TPDF pekee hana ubavu pale wa kuangamiza m23 kwa sababu hana amri ya moja kwa moja bali anapigana chini ya mwavuli lakini pia hata ufahamu wa jiografia ya eneo la adui ni mtihani mwingine ukiachilia mbali ubora wa silaha za adui jumlisha na ari ya jeshi la adui.
Siku moja katika mahojiano na chombo komoja cha habari mwaka 2015 mwaka mmoja baada ya m23 kupigwa, kamanda wa kikosi cha IFB wkati huo brig Gen James Mwakibolwa alipoulizwa ilikuwaje mpaka wakashinda m23 alijibu kuwa kwanza kabla ya kunza kumshmbuli adui kwnza walianza kustadi uwezo wa adui kwa umakini na kufahamu adui anatumia silaha za aina gani. Baada ya kumsoma adui na kufahamu nguvu na madhaifu yake basi hakushambulia mpaka alivyokamilisha kujijenga kiuwezo na kimkakati dhidi ya adui.

Siwabezi TPDF ila ukweli unabaki wazi kuwa mazingira ya adui wa sasa sio sawa na wakati ule japo jina la adui linabaki lilelie.

Na ikumbukwe kuwa wakati ule kikosi cha IFB kilipewa nguvu sana na helicopita za SANDF ambazo safari hii hazipo kuweza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya adui hivyo kuifanya vita kuwa ngumu kwa majeshi ya SADC na washirika wake huku adui akifurahia mazingira bora ya kupigania yasiyo na upinzani mkubwa na hatarishi kwa upande wake.
Kwa mujibu wa wachunguzi na wataalamu wa maswala ya kijeshi wanasema kuwa vikosi vya sadc havijafanya shambulio lolote lenye madhara kwa adui zaidi ya kujihami kwenye viunga vinayouzunguka mji wa Goma ambao ndio lengo la kwanza la M23.
 
Hao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
Kwani mtoa uzi kakuambia kuna mashindano ya vita nani Zaidi mpaka useme Al shababi ni Zaidi ya tpdf?? Kinachozungumziwa hapa ni vita ya Congo na mtoa mada kwa maoni yake akasema tpdf inaweza kuwasafisha kama tukiingia, sasa hizo habari za Al shababi zinatoka wapi, alafu mbona kama umeandika kichuki hivi,, hii ndo tabu ya kuwakaribisha wakimbizi kama wewe mwisho wa siku mnatuletea tabu.
 
Ishu ya m23 iko very complicated kuliko waswahili wengi mnavyo dhani.
M23 wa 2014 sio hawa wa 2024. Hawa ni ni jina tu ndilo linadumu ila robo tatu ya wpiganaji wa m23 unao waona leo mwaka 2014 hawakupigana vita hiyo maana wlikuwa wadogo sana kiumri kati ya darasa la nne na tano wkti huo. Lakini pia zipo tarifa kwamba katika kila wpignaji 5 wa m23 wawili kati yao ni waajiriwa wa RDF wakitekeleza sehemu yao ya majukumu ya kitifa.
M23 ya leo iko more advanced na powerfull kwa kila angle mara 10 ya ile ya 2014 kwa organization, tactic, nidhamu, training, ubora wa silaha,mbinu nk.

Nguvu na ubora walionao leo inatokana na utafiti walioufanya chini ya ufadhili wa Rwanda juu ya sababu za kupoteza mpambano wa kwnza. Wameumiza vichwa, wamejifua, wameiva na sasa wamerudi kuanzia pale walipoishia.

Hawa sio wa kuwachukulia powa mana hawataki kurudia kosa la awali, kwa sababu hiyo ndio maana utawaona saivi wamekuwa tofuti sana.

M23 ya leo sio kama ya 2014 iliyokuwa inasaidiwa na Rwanda na Uganda, hii ya leo Rwanda haisaidii bli iko full engaged sio tu kusaidia bali kushiriki kikamilifu moja kwa moja katika vita huku Uganda ye akisapoti kimyakimya.

Ndio maana this time majeshi ya SADC yanapata wakati mgumu ku advance dhidi ya m23 iliyoboreshwa.
Imefikia hatua wa south Africa katika kikosi cha SAMIDRC wanapigika ht wanashindwa kujitetea. Juzi tu askari wa s. Africa wengine 2 wameuwawa na wengine zaidi ya 15 kujeruhiwa katika mfulutizo wa mashambulizi ya m23.

Unaweza kujiuliza SAMIDRC tangu mwezi Februari imefika DRC imefanya nini ? Majeshi ya srikali yanayosaidiwa na wapiganaji lukuki kutoka majeshi yaukanda na vikundi mbalimbali yamekuwa yakipoteza maeneo kila kukicha.
Kila mpambano unaotokea lazima m23 washinde, jiulize why?
Kwa kifupi lazima ukubali kuwa m23 wa leo ni hatari sana sio kama wale wa 2014.
Baada ya kupigika mwaka 2014 walienda kujitafuta upya na sasahivi wamejipata sana.
TPDF pekee hana ubavu pale wa kuangamiza m23 kwa sababu hana amri ya moja kwa moja bali anapigana chini ya mwavuli lakini pia hata ufahamu wa jiografia ya eneo la adui ni mtihani mwingine ukiachilia mbali ubora wa silaha za adui jumlisha na ari ya jeshi la adui.
Siku moja katika mahojiano na chombo komoja cha habari mwaka 2015 mwaka mmoja baada ya m23 kupigwa, kamanda wa kikosi cha IFB wkati huo brig Gen James Mwakibolwa alipoulizwa ilikuwaje mpaka wakashinda m23 alijibu kuwa kwanza kabla ya kunza kumshmbuli adui kwnza walianza kustadi uwezo wa adui kwa umakini na kufahamu adui anatumia silaha za aina gani. Baada ya kumsoma adui na kufahamu nguvu na madhaifu yake basi hakushambulia mpaka alivyokamilisha kujijenga kiuwezo na kimkakati dhidi ya adui.

Siwabezi TPDF ila ukweli unabaki wazi kuwa mazingira ya adui wa sasa sio sawa na wakati ule japo jina la adui linabaki lilelie.

Na ikumbukwe kuwa wakati ule kikosi cha IFB kilipewa nguvu sana na helicopita za SANDF ambazo safari hii hazipo kuweza kufanya mashambulizi ya angani dhidi ya adui hivyo kuifanya vita kuwa ngumu kwa majeshi ya SADC na washirika wake huku adui akifurahia mazingira bora ya kupigania yasiyo na upinzani mkubwa na hatarishi kwa upande wake.
Kwa mujibu wa wachunguzi na wataalamu wa maswala ya kijeshi wanasema kuwa vikosi vya sadc havijafanya shambulio lolote lenye madhara kwa adui zaidi ya kujihami kwenye viunga vinayouzunguka mji wa Goma ambao ndio lengo la kwanza la M23.
Umeandika waraka mrefu sana kaka.
Hata M23 ya 2014 ilikua ina askari wa RDF tena weeengiii.
Karudi ufuatilie habari,askari wengi wa RDF walikufa na ndipo toka hapo ilifahamika ukiigusa M23 basi inapigana na RWANDA Defence Force.
Hawa UNAMID ndio wanawachelewesha.
Mwaka jana jeshi la Congo liliwatandika sana tu ila wakiona wanashindwa wanakimbilia kuandika barua wanaowakilisha UNAMID ili yafanyike mazungumzo,wakisikilizwa wanajipanga walipofeli wanaendeleza uasi.
Kama isingekuwa kuwasikiliza barua zao hawa walikua watandikwe mwaka jana mpaka basi.
Hata awamu huu si waliandika barua ya mazungumzo walipoona wamezidiwa pale jeshi la SADC liliposhambulia!??
 
Feb kulikua na kelele nyingi mno toka kwa m23 kwamba SADC inawaua watutsi kile east congo,wakaandika hadi waraka ya kuwa TPDF inatumia silaha nzito,m23 wanalindwa na hao hao UNAMID,
 
Ndio mimi nikawa nasema hapa,hawa uasi unakomaa kwasababu wakishaona wanashindwa wanaandika barua ya mazungumzo.
Hata mwaka jana waliandika barua ya kuachia maeneo yote waliyoteka baada ya jeshi la Congo kuzidisha kipigo,jeshi la Congo lilipowasikiliza tu na kuwapa muda wakawa wamekosa maana M23 walijipanga upya.
Hawa UNAMID wanatakiwa waondoke kama Felix alivyosema.
 
Back
Top Bottom