Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wanalindwa na UN na mataifa makubwa,bila hivyo kuikamata kigali hata siku 3 aichukui,congo army wana mig 23 na su-25 kuna mdau huko juu kachekesha anadai 2012 south africa ilipeleka helicopter ndio zilisaidia kuwakimbiza m23,congo wamezuiliwa kutumia jet fighter zao kwenye hii vitaNdio mimi nikawa nasema hapa,hawa uasi unakomaa kwasababu wakishaona wanashindwa wanaandika barua ya mazungumzo.
Hata mwaka jana waliandika barua ya kuachia maeneo yote waliyoteka baada ya jeshi la Congo kuzidisha kipigo,jeshi la Congo lilipowasikiliza tu na kuwapa muda wakawa wamekosa maana M23 walijipanga upya.
Hawa UNAMID wanatakiwa waondoke kama Felix alivyosema.