Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wanalindwa na UN na mataifa makubwa,bila hivyo kuikamata kigali hata siku 3 aichukui,congo army wana mig 23 na su-25 kuna mdau huko juu kachekesha anadai 2012 south africa ilipeleka helicopter ndio zilisaidia kuwakimbiza m23,congo wamezuiliwa kutumia jet fighter zao kwenye hii vitaNdio mimi nikawa nasema hapa,hawa uasi unakomaa kwasababu wakishaona wanashindwa wanaandika barua ya mazungumzo.
Hata mwaka jana waliandika barua ya kuachia maeneo yote waliyoteka baada ya jeshi la Congo kuzidisha kipigo,jeshi la Congo lilipowasikiliza tu na kuwapa muda wakawa wamekosa maana M23 walijipanga upya.
Hawa UNAMID wanatakiwa waondoke kama Felix alivyosema.
Alshabab anawasumbua KDF sio TPDF. Nikupe techinique tunayoitumia TPDF ni kusafisha kwanza wahamiaji haramu afu full scale war inaanza. Kwa nchi kama KENYA lazima ALSHABAB wawasumbue mfano nenda pwani ya kenya wasomali ni wengi mnoo sasa hapo utapambana nao vipi wakati ni GHOST MILLITANTSHao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
Ndio mnavyodanganyana kwenye story zenu za vijiweniUnafurahisha sana mkuu. JW ni kisanga, Africa hii tunazidiwa na majeshi machache sana.
Jesh letu ipo imara al shabab awapgan ww ukienda kwao mnapshana wao wanakuja kuuwa kijj sasa nyie mtabaki tu uko awana mda nanyieHao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
Ndio mkuu, tunadanganya hivo hivo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia, na fact itabaki kuwa fact.Ndio mnavyodanganyana kwenye story zenu za vijiweni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Somalia nani aende?
Kule uwezekano wa kufa ni mkubwa sana,hakuna hata misitu ya kujificha,thubutuuu,sidhani hata kama MPANGO unaweza kufikirika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita ya somalia ni tofauti na vita ya congo..
Magaidi siku zote hawaenda frontline.. Ukiwa somalia unaweza kupishana na ustazi kavaa kilemba fresh anatoka 5 star hotel subiri dk 2 uskilizie mlipo wake humo ndani.. Wale wanavaa fresh ila mwilini wamevaa mikanda ya mabomo..
Somalia wanapigana vita ya jihadi so ni ngumu sana kuwashinda
Haya ropoka ni jeshi la.nchi gani mlilolizidiNdio mkuu, tunadanganya hivo hivo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia, na fact itabaki kuwa fact.
Tulienda comoro siku moja tukamaliza shughuli pale mapema kabisa..Haya ropoka ni jeshi la.nchi gani mlilolizidi
Alshabab vita vyao n ambushi, wale wanapigana ili wafe siyo kuwashindaJesh letu ipo imara al shabab awapgan ww ukienda kwao mnapshana wao wanakuja kuuwa kijj sasa nyie mtabaki tu uko awana mda nanyie
Kuna mengi huyajui mkuu, ni vyema kukaa kimya kuliko kuongelea fani usiyokuwa na uelewa nayo.Hao tpdf kiboko yao ni Alshabab wa Somalia.
Leo kijana wa TPDF umwambie umepangiwa mission somalia atalia mpaka kamasi limtoke.
Sipondei jeshi letu lakini ukweli ni kwamba jwtz bado sana
Hustahili hata kujibiwa na mimi mkuu, straight to ignore listHaya ropoka ni jeshi la.nchi gani mlilolizidi
Umenipa jambo jipya. Nachukua hiiWanalindwa na UN na mataifa makubwa,bila hivyo kuikamata kigali hata siku 3 aichukui,congo army wana mig 23 na su-25 kuna mdau huko juu kachekesha anadai 2012 south africa ilipeleka helicopter ndio zilisaidia kuwakimbiza m23,congo wamezuiliwa kutumia jet fighter zao kwenye hii vita
hadithi za vijiweni ni janga mkuuLini tulishapeleka heshi kwenda kupigana na al shabab?
huwa atupeleki jeshi letu kwenye kila vita hasa vita zenye mitazamo ya kidini.
Aaaaaiiiseeee! Kumbe ma alshabab yanamlengo wa kidini!!!!!!!?????Lini tulishapeleka heshi kwenda kupigana na al shabab?
huwa atupeleki jeshi letu kwenye kila vita hasa vita zenye mitazamo ya kidini.
Alshabaab ni wagumu wale ,na vita yao ni unconventional warfare , kushinda vita vya itikadi za kidini ni ngumu sana .Jana nilikuwa naangalia kwenye TV moja ikieleza jinsi RAIA MUTOMBOKI wanavyotoa Dozi kali kwa Wahutu wa FLDR wanasema wanataka Wahutu hao waondoke Kongo na warudi kwao Rwanda.
Mimi nikawa najisemea Moyoni kuwa Karibuni AMANI ya kudumu itapatikana Mashariki mwa DRC.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Somalia nani aende?
Kule uwezekano wa kufa ni mkubwa sana,hakuna hata misitu ya kujificha,thubutuuu,sidhani hata kama MPANGO unaweza kufikirika.