TPDF ranks position 27 in the World!

Usipoteze nae muda ni mjinga. JWTZ opetates the most deadliest MRLS in the world, world class. A-100, A-200 A-300. The latest Chinese MRLS ukiyaweka Arusha or Moshi hakuna wakukaa Nairobi.
Ngoja kwanza tuwajambishe kidogo ili pawepo na heshima. Tukiwaambia TZ namba 27 wawe wanatikisa vichwa tu bila hata kubweka chochote.
 
Mimi nimesema General sio major general, colonel, brigedia, Jw ni jeshi la wananchi wa Tanzania, JKT ni Jeshi la Kujenga Tanganyika, kuitwa Jeshi la Kujenga Taifa ni jina tu la kisiasa
 
Mimi nimesema General sio major general, colonel, brigedia, Jw ni jeshi la wananchi wa Tanzania, JKT ni Jeshi la Kujenga Tanganyika, kuitwa Jeshi la Kujenga Taifa ni jina tu la kisiasa
Wewe mjinga sana JKT ni division ya JWTZ.
 
Msamehe huyo Hajielewi
Misri ndio wenye jeshi kubwa Africa, hebu anagalia kwenye hizo Wikipedia zako unazoziamin watakuambia, Misri usishindanishe na Tanzania hatuwawezi kila idara kwa sabab wamestaarabika mapema. Nchi zilizostaarabika Africa ni Zanzibar, Misri na South Africa
 
Mbona huku Zanzibar hawapo na ushasema ni division Ya jeshi la wananchi wa Tanzania, Infantry huku wapo, Navy wapo, air force wapo Lakini jkt hawapo na hatuwaelewi, lina operate only mainland, kwa hivyo ni Jeshi la Tanganyika sio Tanzania
 
Self-propelled howitzer zaidi ya 30

 
Self-propelled gun zaidi ya 20


Wale watani fyateni mikia sasa.
 
Hata mimi, naona akifungua kinywa chake ni AIBU TUPU!
Nashangaa kwa nini mnampa muda wenyu humu?
Mchezo umekwisha. Fungeni madomo yenu sasa tuanze kuongea vitu vingine. Don't compare TPDF with your weak army.
TPDF is another level.
 
Hata mimi, naona akifungua kinywa chake ni AIBU TUPU!
Nashangaa kwa nini mnampa muda wenyu humu?
wengine wanatia aibu kwa wanainchi wenzao kwa yale mambo wanaandika humu na mipicha ya zana yenye imeandikwa us army,nyinine ata zinabendera ya nchi ingine but still jamaa anaropoka ata haoni hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…