TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Usipoteze nae muda ni mjinga. JWTZ opetates the most deadliest MRLS in the world, world class. A-100, A-200 A-300. The latest Chinese MRLS ukiyaweka Arusha or Moshi hakuna wakukaa Nairobi.
Ngoja kwanza tuwajambishe kidogo ili pawepo na heshima. Tukiwaambia TZ namba 27 wawe wanatikisa vichwa tu bila hata kubweka chochote.
 
BTR-152 zaidi ya 20
zis-btr-152-10.jpg
BTR-152-K.png
 
The largest army in terms of numbers ni Tanzania. Coz za kawaida ndani ya JWTZ ni miaja hiyo tembelea monduli ukaone.

Alipigani tu na isr


Eeeh! Mwamunyange alikua JKT? Dah! Yaani nina miaka mingi sana sijapata kukaa karibu na wajinga. Hivi wajua nini ni JKT? Na pia humjui Mwamunyange. Eti Generals hawapigani vita? We unakichaa? Gen James Aloyce Mwakibolwa juzi tu katoka vitani na kushinda vita na kupandishwa kua Mej Gen. Generals wanaenda vitani, na wanakua frontline if necessary. Wao ndio watoa muongozo na maplanners mpuuzi wewe. kuanzia cheo cha Mej Gen ni kiongozi wa brigades, ambazo huitwa Division, Brig Gen ni kiongozi wa brigade, Col ni kiongozi wa battalion lieutenant ni kiongozi wa platoon, na lieutenant ni lazima awe kijana si juu ya miaka 35. Wewe ni mjinga kupindukia pia hujui chochote, mbulula
Mimi nimesema General sio major general, colonel, brigedia, Jw ni jeshi la wananchi wa Tanzania, JKT ni Jeshi la Kujenga Tanganyika, kuitwa Jeshi la Kujenga Taifa ni jina tu la kisiasa
 
Mimi nimesema General sio major general, colonel, brigedia, Jw ni jeshi la wananchi wa Tanzania, JKT ni Jeshi la Kujenga Tanganyika, kuitwa Jeshi la Kujenga Taifa ni jina tu la kisiasa
Wewe mjinga sana JKT ni division ya JWTZ.
 
Msamehe huyo Hajielewi
Misri ndio wenye jeshi kubwa Africa, hebu anagalia kwenye hizo Wikipedia zako unazoziamin watakuambia, Misri usishindanishe na Tanzania hatuwawezi kila idara kwa sabab wamestaarabika mapema. Nchi zilizostaarabika Africa ni Zanzibar, Misri na South Africa
 
Mbona huku Zanzibar hawapo na ushasema ni division Ya jeshi la wananchi wa Tanzania, Infantry huku wapo, Navy wapo, air force wapo Lakini jkt hawapo na hatuwaelewi, lina operate only mainland, kwa hivyo ni Jeshi la Tanganyika sio Tanzania
 
Self-propelled howitzer zaidi ya 30
Self-propelled howitzer3.jpg
Self-propelled howitzer2.jpg
Self-propelled howitzer1.jpg

 
Self-propelled gun zaidi ya 20
Self-propelled gun1.jpg
Self-propelled gun2.jpg


Wale watani fyateni mikia sasa.
 
Hata mimi, naona akifungua kinywa chake ni AIBU TUPU!
Nashangaa kwa nini mnampa muda wenyu humu?
Mchezo umekwisha. Fungeni madomo yenu sasa tuanze kuongea vitu vingine. Don't compare TPDF with your weak army.
TPDF is another level.
 
Hata mimi, naona akifungua kinywa chake ni AIBU TUPU!
Nashangaa kwa nini mnampa muda wenyu humu?
wengine wanatia aibu kwa wanainchi wenzao kwa yale mambo wanaandika humu na mipicha ya zana yenye imeandikwa us army,nyinine ata zinabendera ya nchi ingine but still jamaa anaropoka ata haoni hiyo
 
Back
Top Bottom