kiukweli, kwa hii karne , most militaries especially of developing countries are trained the same... what differs is the amount of hours and resources and technology that goes in. the training....
In short tuseme tu, The country that can control the airspace and project its navy will win the war.... angalia kama Nigeria vs South Africa, sometimes eti Nigeria inakua ranked higher than SA. lakini ki ukweli kama vita vikianguka leo, ndege za SA ambazo ni 4th gen zitabomoa zana zote za kivita za nigeria wiki ya kwanza bila hata kukanyaga ardhi ya nigeria.. nigeria itakua imeisha nguvu.....
Angalia vile Iraq iliangushwa wakati wa sadam hussein...
angalia vile Libya na zana zote zake kali kali iliangushwa na NATO.....
Tunafaa sote tuogope nchi zenye ndege kali kali, sikuhizi ndege ziko na elecronic counter measures and multiple target acquisition ambazo ziko advanced, hata kama uko na radar na surface to air missiles bado ndege itabwaga mabomu na kukwepa makombora yako..... ndege za sikuhizi ukiirushia kombora hapo kwa hapo inatafuta kombora limetoka wapi nayo inaachilia kombora lake lifwate kule kombora lako limetoka (hata fighter jets zavkisasa hazipendagi ujinga) Waafrica tunafaa kuwekeza kwa radar za early warning systems na ndege za kisasa na pia air defence networks za nguvu.. nchi kama marekani inaweza chafua Africa nzima from north to South na usiku mmoja tu! watakaoweza kujitetea ni akina Egypt na algeria tu.... mmarekani ako na fighterjets elfu mbili.... nchi kama kenya iko na 30pekee tena za model ya kitambo ya 3rd generation