Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Bunduki hii ya UZI haina shabaha, hutoa Risasi nyingi bila kujali shabaha!!! Hiyo huwezi kupeleka kwa vita siku hizi utapigwa!!!Hahahahaha!!! Kakangu isinichekeshe, yaani hivi WanaTPDF bado ndio hawa wanatumia UZI bunduki ambazo hasa hutumiwa na vikosi vidogovidogo vya waasi?????? Doh!! Kheri KDF
Walisaidia kufanyaje?acheni sifa za kijinga tetemeko lilipotokea KDF ndio walikuwa wakwanza kuja kutusaidia,TPDF imekaa kisiasa zaidi tunahitaji reshuffle kabla mambo hayajawa mabaya hapo punde
We kweli pomole hujui Tanzania special force walitumia IWI Galil MAR Carbine, Meprolight sights kutoa kichapo kwa m23,2013( at that time ilikuwa nchi pekee Africa inayomilikyi silaha hiyo hatari)mpaka military specialist walishangaa if there is country in Africa use it, so kujua aina gani ya bunduki tunazotumia you have no choice but to wait another mission by the best army in Africa an 27 around the world "TPDF" najua inakukera but that is the reality.Bunduki hii ya UZI haina shabaha, hutoa Risasi nyingi bila kujali shabaha!!! Hiyo huwezi kupeleka kwa vita siku hizi utapigwa!!!
We kweli pomole hujui Tanzania special force walitumia IWI Galil MAR Carbine, Meprolight sights kutoa kichapo kwa m23,2013( at that time ilikuwa nchi pekee Africa inayomilikyi silaha hiyo hatari)mpaka military specialist walishangaa if there is country in Africa use it, so kujua aina gani ya bunduki tunazotumia you have no choice but to wait another mission by the best army in Africa an 27 around the world "TPDF" najua inakukera but that is the reality.
Sasa kilichofanya wastegate wapige loot for 4days ni nn?
Hiyo ndo Bunduki KDF wanatumia, M4A1 watch in the videos i posted. But that is not for the Elite, It is now becoming for general use by the GSU. Sasa wewe hapa unatupa picha hizo wasema ni za kitambo, kwani hamna picha za juzi? Askari wenu hasa hutembea na nini? Rungu??
Ndg Edward Wanjara. hii bunduki ya UZI umeifahamu wapi hadi useme haina shabaha? Acha kujidanganya kupitia game za computer kama project IGI. Na ndio shida ya wachambuzi wengi wa maswala ya kijeshi. Watu wakitazama movie au kucheza game ya mission yoyote na wao wanajiona wanajua maswala ya kijeshi.Bunduki hii ya UZI haina shabaha, hutoa Risasi nyingi bila kujali shabaha!!! Hiyo huwezi kupeleka kwa vita siku hizi utapigwa!!!
wewe unachojua kuhusu jwtz in kupasua tofali kwa kichwa basi, kweli kuna watu na viatu, pole lkn fatilia mambo one day u will know the truth!Tuache utani, wajeda wetu hawa wapasua matofari kwa kichwa leo ndo wapo nafasi ya 27 kwa ubora duniani???
Yaaa ni kweli, lkn ni jambo lisilo patana na akili kuwa DRC au Nigeria au Kenya kuwa juu ya Tanzania.
kiukweli, kwa hii karne , most militaries especially of developing countries are trained the same... what differs is the amount of hours and resources and technology that goes in. the training....
In short tuseme tu, The country that can control the airspace and project its navy will win the war.... angalia kama Nigeria vs South Africa, sometimes eti Nigeria inakua ranked higher than SA. lakini ki ukweli kama vita vikianguka leo, ndege za SA ambazo ni 4th gen zitabomoa zana zote za kivita za nigeria wiki ya kwanza bila hata kukanyaga ardhi ya nigeria.. nigeria itakua imeisha nguvu.....
Angalia vile Iraq iliangushwa wakati wa sadam hussein...
angalia vile Libya na zana zote zake kali kali iliangushwa na NATO.....
Tunafaa sote tuogope nchi zenye ndege kali kali, sikuhizi ndege ziko na elecronic counter measures and multiple target acquisition ambazo ziko advanced, hata kama uko na radar na surface to air missiles bado ndege itabwaga mabomu na kukwepa makombora yako..... ndege za sikuhizi ukiirushia kombora hapo kwa hapo inatafuta kombora limetoka wapi nayo inaachilia kombora lake lifwate kule kombora lako limetoka (hata fighter jets zavkisasa hazipendagi ujinga) Waafrica tunafaa kuwekeza kwa radar za early warning systems na ndege za kisasa na pia air defence networks za nguvu.. nchi kama marekani inaweza chafua Africa nzima from north to South na usiku mmoja tu! watakaoweza kujitetea ni akina Egypt na algeria tu.... mmarekani ako na fighterjets elfu mbili.... nchi kama kenya iko na 30pekee tena za model ya kitambo ya 3rd generation
Sawa wewe JibambeUmeanza vizuri umemaliza vibaya.Kenya ina 1st generation fighterjet
Anabonyezabonyeza Buttons tu [emoji95] [emoji95] [emoji95]Inawafundisha muache kiherehere. Dunia hii ina wenyewe, hakikisha una zana za kweli za kivita, hususan ndege, huwezi kuwa namba 27 kwa kupasua pasua matofali. Waafrika aliyetulaani kafia zake mbali maana tunatia huruma.
Marekani akiamua kutupea kibano Afrika, itakua mwendo wa raha kwake, maana atakua anabonyeza bonyeza tu.
There are several factors that are taken into consideration while ranking of world militaries and sadly how well trained an army is its not one of them. So hawa madwanzi since waliwachapa ma rebels wa congo sasa wanajiona wanaeza letea kila mtu ubavu let them try watachekea chooni. Finally huyu general wao ni pimbi sana, how did he even arrive at number 27???Sawa wewe Jibambe
View attachment 433945
- Terrorism & War Updates
Published On: Wed, Aug 10th, 2016
Fighter Jets Pound On Al-Shabaab Bases In Militant-held Jilib Town, Militant Causalities Reported
A Makeshift Al-Shabaab Camp Destroyed by KDF Fighter Jets in Gedo Region, Somalia
View attachment 433946
View attachment 433947
View attachment 433948
Kenya Fighter Jets Over Kismayu Somalia View attachment 433949
View attachment 433951
View attachment 433952View attachment 433953
UGANDA PEKEE ITAWA HANDLE JWTZ vilovyo
View attachment 433954
Hawa watoto hawajui mambo ya jeshi thus why wanaongea utumbo tu, ukweli jwtz walikuwa hawatoi ishu zao kwenye social media iliyopelekea baadhi ya watanzania kutojua mziki wa hawa jamaa.Yaani Congo kashindwa kuwaondoa M 23 baada ya TPDF kutia pua nchi ipo salama halafu wakae juu yetu ?.UPDF tumewafunza kila kitu sisi wenyewe halafu wakae juu yetu ??????.
Waambie wakulenge Nazo km toy [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hizi bunduki za TPDF nazo mbona hazitishi hata kidogo. Zinafanana na Toys za watoto wadogo.