Sijakupata vizuri,jeshi ni zaidi ya vifaa na zana, vichwa ndio kila kitu. Niliona TPDF wakipasua matofali kwa kichwa nikaamini hata USA wachanga kwa TPDF lol
Sijakupata vizuri,
Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.
Na ww uwende hospital kupima maana km watoto wamewasumbua DRC na wmewashindwa ss waliowaweza huwez fananisha nao, however hyo nafsi ya 27 hawajacreate watz ! Upo mbururaz ww!!thank God umekubali m23 niwatoto...maana mkiguswa tu mshaanza tuliwapiga m23.for once mtz amekubali hakuna chochote cha maana kupiga m23.next tym plz muaachane na hiyo tabia ya kujisifia kwa m23
nawewe kama wakubali kuwa mko namba 27 yafaa tukuimport tukupeleke kwa hospital yetu ya vichaa ya mathare.kubali mlipigana na watoto so mpewe respect kwa kupigana na watotoNa ww uwende hospital kupima maana km watoto wamewasumbua DRC na wmewashindwa ss waliowaweza huwez fananisha nao, however hyo nafsi ya 27 hawajacreate watz ! Upo mbururaz ww!!
Don't trouble yourself anymore. If you are like: 'so what' today, even tomorrow its gonna be the same. You'll never understand a thing no matter the explanation. Just keep calm brother.So what?
Umemaliza?Don't trouble yourself anymore. If you are like: 'so what' today, even tomorrow its gonna be the same. You'll never understand a thing no matter the explanation. Just keep calm brother.
Ile ni mipango Ya umoja wa mataifa, kupeleka mataifa jirani katika nchi zenye mzozo wa saiz Ya kati, mbona jw hawapelekwi Somalia, isitoshe hapo rank inajuliisha vifaa walivyo kuwa navyo Congo wamepewa dhana nyingi za umoja wa mataifa kwa sabab Ya mizozo waliokuwa nayo, marekani anachukua almasi na dhahabu anawapa serikali dhana za kivita. Na hizo ranks sijapanga mimi, ni umoja unaoshughulikia masuala Ya kijeshi, jeshi la kisasa utaonekana mzuri ukiwa una uwezo mkubwa wa kidhana sio tacticsChizi kweli ww, tena kichaa!! Eti DRC imeizidi Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wangeizidi wangeomba msaada JWTZ dhidi wa watoto wa M23
Kweli bro, Tuombe salama na amani katika nchi, Unafikir Hao Tpdf mnaowasifia wapelekwe Syria na Iraq watarudi? Ugaid sio kitu kizuriMkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
Mbona walishindwa kuwamaliza m23 mpaka tuenda kuwasaudia...?Takwimu zako si sahihi, kidunia DRC ni ya 73 Tanzania ni ya 96.
Halafu kwa Afrika DRC 10 wakati TZ 17
siasa jeshini hiyoTanzania people Defence Force
Wewe huelewi, wanaangalia vifaa wanavyomiliki jeshi husika, hawaangalii tactics, Tanzania wangekuwa wababe wangepelekwa Somalia, Nigeria na Iraq. Na hao M23 hawakuwa peke yao, walienda kama ni miongoni mwa majeshi Ya umoja wa mataifaMbona walishindwa kuwamaliza m23 mpaka tuenda kuwasaudia...?
Ni kweli boko haram si utani, pia alshabab na alqaeda, lkn ukitazama kwa undani, kwa nini jeshi lenye vifaa la Nigeria walikimbia kambi??Mkuu unadhani boko haram utani? Unadhani alshabaab utani? Nyie mko kwenye bench mnaweza analyse vizuri, lakini ukiwa kwa mechi, hapo ndipo utajua ugaidi haina utani, you'll get your serving one day.
Kwani kuna nchi yoyote ambayo inapeleka majeshi yake peke yake kwenye mission???Wewe huelewi, wanaangalia vifaa wanavyomiliki jeshi husika, hawaangalii tactics, Tanzania wangekuwa wababe wangepelekwa Somalia, Nigeria na Iraq. Na hao M23 hawakuwa peke yao, walienda kama ni miongoni mwa majeshi Ya umoja wa mataifa