Itzmusacmb
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 1,531
- 1,134
Yaah Msomali kamzidi ujanja mkeya a.k.a mbururaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shame on you... Cjawahi kuona vita mtu anatoa excuses.. Unataka kutuaminisha kuwa mbinu za kivita Al shababu wamewazid..
Wanaogopa Marekani, Ufaransa, isije kuwa mie Ufaransa ina ulinzi kuliko Tanzania na watu wamejitoa Muhanga, Belgium vile vile, jeshi la Tanzania uzinzi na pombe unafikir wataweza kuwazuia wale, tumia akili na ushujaa wako, sisi waswahili (watu wa pwani) kwa moga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilioWeweee Acha uoga ww
Intelijensia yao ina kazi gani??Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Kitu kingine kuusu sare tz ilipokua DRC kupigana na m23 walikuwa na sare zenye nembo za UN ila walizivua baadhi ya askari na kuvaa zenyekufanana na jeshi la Kongo walipo kua mstari wa mbele ili kufikia malengo umuhimu siyo sare hata ukivaa za UN usizani m23 watakuulumia kukushambulia au al shabbab watakuulumia wanajeshi wa tz walivua kofia za UN DRC na kuvaa zakawaida walipokua mstari wa mbele kwa sababu kagame alikuwa amekusudia kuyakomoa majeshi ya TanzaniaHalafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Hawa DRC waliokuwa wanapelekeshwa ata na M23!!!!!Takwimu zako si sahihi, kidunia DRC ni ya 73 Tanzania ni ya 96.
Halafu kwa Afrika DRC 10 wakati TZ 17
to argue with you will just be a waste of time....suit yourselfSs kdf ni jeshi? Decade inakaribia kuisha vita hamshindi!! Njoeni military camp huku kwa wanaume tz tuwafunzi!! Vichwa maji nyie
kdf wakivua sare ndo itafanya al shabaab wavae sare au?the point is al shabaab hawana sare na wamejichanganya mijini na raia.sio msituni kama mlivyopigana na m23.mbona hao waliokuwa boni forest hawakuonyesha huo ubabe wao walivyofatwa ndio tukajua kweli al shabaab niwanaume.walitoroka bila kurusha bomu ata moja wakakimbia somalia kujichanganya na raia ili wasijulikaneKitu kingine kuusu sare tz ilipokua DRC kupigana na m23 walikuwa na sare zenye nembo za UN ila walizivua baadhi ya askari na kuvaa zenyekufanana na jeshi la Kongo walipo kua mstari wa mbele ili kufikia malengo umuhimu siyo sare hata ukivaa za UN usizani m23 watakuulumia kukushambulia au al shabbab watakuulumia wanajeshi wa tz walivua kofia za UN DRC na kuvaa zakawaida walipokua mstari wa mbele kwa sababu kagame alikuwa amekusudia kuyakomoa majeshi ya Tanzania
Wewe hukijui ata nini unaongea, basi urusi na Marekani wasiwekwe wa kwanza na wa pili respectively wanahangaishwa na waasi pale Syria, halafu m23 walikuwa ni watoto wa miaka 17 vile vile Tanzania walikuwa part Ya majeshi Ya umoja wa Mataifa, hawakuwa who peke yaoHawa DRC waliokuwa wanapelekeshwa ata na M23!!!!!
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.acheni sifa za kijinga tetemeko lilipotokea KDF ndio walikuwa wakwanza kuja kutusaidia,TPDF imekaa kisiasa zaidi tunahitaji reshuffle kabla mambo hayajawa mabaya hapo punde
Kwa vigezo gani?! Idadi ya askari, vifaru na ndege za kivita, technolojia ya kisasa, mapambano ya kivita tuliyoshinda au kitu gani?! Wacheni kujitekenya ili mcheke wenyewe jamani?
Mapambano na mbinu za kivitaKwa vigezo gani?! Idadi ya askari, vifaru na ndege za kivita, technolojia ya kisasa, mapambano ya kivita tuliyoshinda au kitu gani?! Wacheni kujitekenya ili mcheke wenyewe jamani?
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
ukubwa haupimwi kwa urefu wala umri,mpaka sasa ushachemsha kubwa jinga wewe hujui hata unachotetea...!!kwa akili yako kazi ya jeshi nikupigana vita mpaka hayo makamo uliofikia hujui kazi za jeshi bure kabisa wewe na ukubwa wako huo..!!kawa danganye watoto wako na wajukuu zakoKwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
Wewe ni mpuuzi kweli sasa unadhani jeshi ndilo limesababisha tetemeko. Mbona kiwango chako cha kufikria ni finyu hivyo?ukubwa haupimwi kwa urefu wala umri,mpaka sasa ushachemsha kubwa jinga wewe hujui hata unachotetea...!!kwa akili yako kazi ya jeshi nikupigana vita mpaka hayo makamo uliofikia hujui kazi za jeshi bure kabisa wewe na ukubwa wako huo..!!kawa danganye watoto wako na wajukuu zako
View attachment 418574