TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Shame on you... Cjawahi kuona vita mtu anatoa excuses.. Unataka kutuaminisha kuwa mbinu za kivita Al shababu wamewazid..
Yaah Msomali kamzidi ujanja mkeya a.k.a mbururaz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Weweee Acha uoga ww
Wanaogopa Marekani, Ufaransa, isije kuwa mie Ufaransa ina ulinzi kuliko Tanzania na watu wamejitoa Muhanga, Belgium vile vile, jeshi la Tanzania uzinzi na pombe unafikir wataweza kuwazuia wale, tumia akili na ushujaa wako, sisi waswahili (watu wa pwani) kwa moga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio
 
Manyangau ya Kenya hayajui utamu wa vita ni kumshinda adui mwenye siraha bora kukuzidi askari wengi kukuzidi uchumi mkubwa kukuzidi na ilo linapatikana Tanzania tu Africa nzima ona jeshi la Nigeria boko haram tu wanateka hadi miji je kwenye Google Nigeria na Kenya ipi ipo juu kisiraha na kijeshi kwa ujumla sasa kwa mfano boko haram wangekuwa wanapata sapoti kutoka kwa jwtz kama ingekuwa tunapakana nao Nigeria potea hivyo wakenya acheni zarau kumbukeni serikali yenu ilisemaje wakati Uganda imevamia tanzania na ilisemaje bungeni Kenya baada ya tz kuiteka Uganda siyo vibaya nikikukumbusheni ilisemaje ilisema "tz aina uwezo wa kupigana na Uganda kwa sababu jwtz aina askari zaidi ya 5000 au 6000 na aiwezi kujenga daraja lililo lipuliwa na Uganda labda hadi mwaka mzima" mwisho wa kunukuu na baada ya vita kwisha serikali hiyo hiyo ya Kenya ilishitushwa na uwezo wa Tanzania na ukubwa wa jeshi ikasema hivi" vita vilipo anza atukujua kama Tanzania inajeshi kubwa kiasi hicho na tukastushwa na uwezo wa kivita iliouonyesha kwaivyo ninini kinaifanya Kenya ishindwe kuwa na jeshi kubwa kama Tanzania wakati tunauwezo kiuchumi kuliko tz " mwisho kwa ufupi hivyo nimewakumbusha wakenya acheni dharau mtakuja umia
 
Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Intelijensia yao ina kazi gani??
 
Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Kitu kingine kuusu sare tz ilipokua DRC kupigana na m23 walikuwa na sare zenye nembo za UN ila walizivua baadhi ya askari na kuvaa zenyekufanana na jeshi la Kongo walipo kua mstari wa mbele ili kufikia malengo umuhimu siyo sare hata ukivaa za UN usizani m23 watakuulumia kukushambulia au al shabbab watakuulumia wanajeshi wa tz walivua kofia za UN DRC na kuvaa zakawaida walipokua mstari wa mbele kwa sababu kagame alikuwa amekusudia kuyakomoa majeshi ya Tanzania
 
Nchi ya wazungu wana rank kibiashara ili wauze siraha mwenye vifaru 10 anawekwa juu ya mwenyewe vifaru8 vya uwezo sawa lengo ni kuziteka kisaikolojia ili zisizo kuwa na siraha nyingi zianze kujilimbikizia siraha na kuuficha ukweli kuwa uwezo wa kivita si wingi wa siraha Bali ni huodari na ujasiri wa askari
 
Ss kdf ni jeshi? Decade inakaribia kuisha vita hamshindi!! Njoeni military camp huku kwa wanaume tz tuwafunzi!! Vichwa maji nyie
to argue with you will just be a waste of time....suit yourself
 
Kitu kingine kuusu sare tz ilipokua DRC kupigana na m23 walikuwa na sare zenye nembo za UN ila walizivua baadhi ya askari na kuvaa zenyekufanana na jeshi la Kongo walipo kua mstari wa mbele ili kufikia malengo umuhimu siyo sare hata ukivaa za UN usizani m23 watakuulumia kukushambulia au al shabbab watakuulumia wanajeshi wa tz walivua kofia za UN DRC na kuvaa zakawaida walipokua mstari wa mbele kwa sababu kagame alikuwa amekusudia kuyakomoa majeshi ya Tanzania
kdf wakivua sare ndo itafanya al shabaab wavae sare au?the point is al shabaab hawana sare na wamejichanganya mijini na raia.sio msituni kama mlivyopigana na m23.mbona hao waliokuwa boni forest hawakuonyesha huo ubabe wao walivyofatwa ndio tukajua kweli al shabaab niwanaume.walitoroka bila kurusha bomu ata moja wakakimbia somalia kujichanganya na raia ili wasijulikane
 
Hawa hapa sasa wanaume wa TZ.
Angalia hizo mashine mkononi. Sasa tunaanza kwa vitendo

4bk4b752fded745lmd_800C450.jpg
07.jpg
JWTZ+PICHA.jpg
 
Hawa DRC waliokuwa wanapelekeshwa ata na M23!!!!!
Wewe hukijui ata nini unaongea, basi urusi na Marekani wasiwekwe wa kwanza na wa pili respectively wanahangaishwa na waasi pale Syria, halafu m23 walikuwa ni watoto wa miaka 17 vile vile Tanzania walikuwa part Ya majeshi Ya umoja wa Mataifa, hawakuwa who peke yao
 
acheni sifa za kijinga tetemeko lilipotokea KDF ndio walikuwa wakwanza kuja kutusaidia,TPDF imekaa kisiasa zaidi tunahitaji reshuffle kabla mambo hayajawa mabaya hapo punde
 
acheni sifa za kijinga tetemeko lilipotokea KDF ndio walikuwa wakwanza kuja kutusaidia,TPDF imekaa kisiasa zaidi tunahitaji reshuffle kabla mambo hayajawa mabaya hapo punde
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
 
Kwa vigezo gani?! Idadi ya askari, vifaru na ndege za kivita, technolojia ya kisasa, mapambano ya kivita tuliyoshinda au kitu gani?! Wacheni kujitekenya ili mcheke wenyewe jamani?
 
Kwa vigezo gani?! Idadi ya askari, vifaru na ndege za kivita, technolojia ya kisasa, mapambano ya kivita tuliyoshinda au kitu gani?! Wacheni kujitekenya ili mcheke wenyewe jamani?
Mapambano na mbinu za kivita
 
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
 
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.
ukubwa haupimwi kwa urefu wala umri,mpaka sasa ushachemsha kubwa jinga wewe hujui hata unachotetea...!!kwa akili yako kazi ya jeshi nikupigana vita mpaka hayo makamo uliofikia hujui kazi za jeshi bure kabisa wewe na ukubwa wako huo..!!kawa danganye watoto wako na wajukuu zako

chn.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Wewe
Kwenda huko na wewe mshamba. Unajua TPDF wewe? Unajua TPDF imeanzishwa kwa lengo gani? Hebu acha ujinga. TPDF walileta tetemeko? Toa upuuzi wewe dogo. Sisi tunaongea mambo ya maana unakuja kuleta upuuzi hapa.

Wewe Anael wacha kutishia watu kwani tetemeko lililetwa na KDF? Mbona hatujaona involvement ya JW hapa Kagera lakini ni ukweli mtupu kwamba KDF walifika Kagera kama first responders na KDF watabaki katika nyoyo za wanakagera kwa muda mrefu sana. Nikuulize Anael, hivi JW iliundwa kukaa makambini wakati wa maafa? Angalia US coast guards walivyojituma kwenye hurricane Mathew! Angalia role ya jeshi kule Haiti, angalia role ya jeshi kwenye tetemeko la Italia majuzi! The role of the army during peace times is to take proactive interventions in natural calamities such as landslides, floods, earthquakes, heatwaves, etc etc, usitutishie nyau wewe! Hujui lolote unamtishia mtu kwa kumuita dogo, dogo underwear ya mkeo! Bs
 
Wakuu mlitaka watupime kwa kigezo kipi kwa hiyo ranks, au mnataka waende Sudan kwanza
 
ukubwa haupimwi kwa urefu wala umri,mpaka sasa ushachemsha kubwa jinga wewe hujui hata unachotetea...!!kwa akili yako kazi ya jeshi nikupigana vita mpaka hayo makamo uliofikia hujui kazi za jeshi bure kabisa wewe na ukubwa wako huo..!!kawa danganye watoto wako na wajukuu zako

View attachment 418574
Wewe ni mpuuzi kweli sasa unadhani jeshi ndilo limesababisha tetemeko. Mbona kiwango chako cha kufikria ni finyu hivyo?
Hapa tunaongelea kitu kingine wewe unaleta issue za tetemeko kamasio mbumbumbu wewe ni kitu gani.

Wewe dogo jifunze kutumia mitandao sio kuja kuropoka hovyo hovyo tu hapa hujui kwanini tunachangia hapa.
 
Back
Top Bottom