TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

MIMI NAVYOJUA MILITARY CAPABALITY WANAANGALIA RASILIMALI ZA JESHI NIKIWA NA MAANA: WATU, VIFAA, FEDHA, UFAHAMU NA KADHALIKA.

KWANZA TUANGALIE WATU WANGAPI WAKO JESHINI? PILI VIFAA VYETU VYA KIVITA NA USASA WAKE, TATU BAJETI YA JESHI LA TANZANIA KWA MWAKA, NNE UFAHAMU WA WANAJESHI WETU, NA MENGINE KAMA UONGOZI, VYUO VYA MAFUNZO, TEKNOLOJIA TUMEIPOKEA VIPI?
 
Hizo ni Rank za Kisiasa?

Maana Siasa zimeenea kila mahala... hata bombani kwenye kuchota maji napo kuna Siasa...

Nilienda Kung'oa Jino moja daktari akanichunguza akaniambia kuna mawili nayo ni mabovu so hapa kwangu uking'oa meno mengi napunguza bei... nikaona Siasa hadi kwenye kung'oa Meno?
 
Wewe huelewi, wanaangalia vifaa wanavyomiliki jeshi husika, hawaangalii tactics, Tanzania wangekuwa wababe wangepelekwa Somalia, Nigeria na Iraq. Na hao M23 hawakuwa peke yao, walienda kama ni miongoni mwa majeshi Ya umoja wa mataifa
Usiwe kilaz.a...Wangepelekwa na nani? Kwani Kenya walipelekwa na nani Somalia...usipende kuonyesha ujinga wako kwa kila mtu...
 
Kwani kuna nchi yoyote ambayo inapeleka majeshi yake peke yake kwenye mission???

Oooh nimekumbuka, TZ ilienda kumtoa kanali Bakary peke yake.
Kikwete wakati ule alikuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Nchi huru za Africa A. U Alijitolea kutoa jeshi kutoka nchini kwake, ila Rais wa Sudan AL Bashir akamuambia Tanzania hamna experience na magaidi, nchi yenu ni Ya amani sana, askar wako watakuwa ni wepya kwa hayo, licha Ya kwamba kwenye mafunzo Ya kijeshi mnafundishwa field tactics, Lakin mini ntasaidia kutoa askar wangu ambao ni wadhooefu ilo kusaidiana na hao wa kwako, Kwa hio Comoro walienda jeshi la Tanzania na Sudan. Tatizo watu wengine hamjui na hsmfuatilii, so sio rahis mambo mengine kujua, hii ni JF home of thinkers
 
Kwamba DRC wapo juu yetu na South Sudan tumewazidi nafasi mbili tu? Hapana bana. Wanaangalia vigezo gani hawa "watafiti"?

TPDF sio ya mchezomchezo na DRC surely hawatuzidi. Au wanaangalia idadi ya troops na sio quality ya wajeda?
 
Nyie mnaompinga chief of staff alichosema njooni na evidence iliyoshiba siyo kwa kwenda google. Kaeni mkijua military capabilities haziwi fully displayed to public. Halafu mnajifanya waelewa kumbe mnakuja na reports zilizo published kutoka kwenye mawazo ya mtu mmoja au taasisi ambayo hawamo kwenye field husika. Grow up my sons and daughters
 
Kwani Tanzania anauunda silaha zake mwenyewe hata asijulikane, hizi ranks zinatolewa kwa kuangalia zile idadi Ya dhana ambazo serikali amedhirisha, hawaangalii kama nyengine wamefanya siri, pia vile vile wanaangalia na budget Ya serikali kwa mambo Ya ulinzi
 
As long as nchi yangu imetamalaki amani basi hata tukiwa wa mwisho haina shida
 
Sijakupata vizuri,

Lkn pia utii na uaminifu ndiyo nguzo muhimu sana za jeshi. Mfano Nigeria ina zana za kisasa kabisa lkn wakawakimbia wanamgambo wa boko haram.
Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
 
nawewe kama wakubali kuwa mko namba 27 yafaa tukuimport tukupeleke kwa hospital yetu ya vichaa ya mathare.kubali mlipigana na watoto so mpewe respect kwa kupigana na watoto
Ss kdf ni jeshi? Decade inakaribia kuisha vita hamshindi!! Njoeni military camp huku kwa wanaume tz tuwafunzi!! Vichwa maji nyie
 
Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Shame on you... Cjawahi kuona vita mtu anatoa excuses.. Unataka kutuaminisha kuwa mbinu za kivita Al shababu wamewazid..
 
Halafu kuna kitu mnapaswa mkijue!! Al shabaab huwa hawana Sare kama ilivyo M23 na ndyo maana ni ngumu sana kuwamaliza na vlevle wale jamaa kule Somalia vita huwa vnapgwa mjini, kiasi cha kwmba wapo kiraia na ngumu kumtambua yupi n raia n yupi gaidi
Kwani sare ni ngozi ya mwili mpiganaji anatakiwa atumie mbinu yoyote kushinda hata jwtz wanazo sare ila ikibidi kuzivua ili kufikia malengo zinavuliwa huo ndo uaskari m23 walishindwanini kuzivua sare zao ili kushinda mapigano au akili zao zilikuwa kama za kdf unanganganiaje sare wakati zinakufelisha kivita jwtz inapigana hata uchi ikibidi .mm uwa nashindwa kuwaelewa wakenya utakuta wanatoa sababu za kushindwa kwao kwa namna ya kujitetea mfano utasikia al shabbabu waliteka magari ya kivita na siraha kwa askari wa Burundi ndiyo sababu tukalipuliwa el ade kwani vita ni nyinyi kutumia mbinu ila mnaopigana nao awaruhusiwi kutumia mbinu
 
Siku wakenya mkipigana na Uganda mkashindwa kwa sababu ya kugoogle uwezo wa Uganda mtasema atukujua yuganda inasiraha kadhawakadha hivyo hivyo kwa Tanzania ndiyo sababu mtatoa lakini ndo vita mshashindwa na akuna watu wanao shindwa vita bila sababu
 
Back
Top Bottom