TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Wewe

Wewe Anael wacha kutishia watu kwani tetemeko lililetwa na KDF? Mbona hatujaona involvement ya JW hapa Kagera lakini ni ukweli mtupu kwamba KDF walifika Kagera kama first responders na KDF watabaki katika nyoyo za wanakagera kwa muda mrefu sana. Nikuulize Anael, hivi JW iliundwa kukaa makambini wakati wa maafa? Angalia US coast guards walivyojituma kwenye hurricane Mathew! Angalia role ya jeshi kule Haiti, angalia role ya jeshi kwenye tetemeko la Italia majuzi! The role of the army during peace times is to take proactive interventions in natural calamities such as landslides, floods, earthquakes, heatwaves, etc etc, usitutishie nyau wewe! Hujui lolote unamtishia mtu kwa kumuita dogo, dogo underwear ya mkeo! Bs
Rudi kwenye mada toa ushuzi wako hapa.
 
Rudi kwenye mada toa ushuzi wako hapa.
y

Usitishie watu nyau wewe Anael kichwa wazi! wewe ndie ulihama mada, mara unajua kwanini jw ilianzishwa, mara kwani jw ndio ilileta tetemeko halafu unatukana mwenzio kumbe wewe mwenyewe kichwa wazi hujui lolote! Nimeandika hivyo to shake you back to your senses, usihemuke hovyohovyo, fungua ubongo kabla hujafungua domo lako na kukimbilia kwenye keyboard kutishia wenzio! Bs
 
Wewe dogo toa upunga wako hapa. JWTZ ni namba 27 duniani wewe unasemaje?
 
Basi endelea kuuza vocha za voda au tigo.

Annael Kichwa wazi, Kwa kukusaidia tu tembelea site hii ujifunze sio kuropokaropoka kwenye jamvi: www.globalfirepower.com "Countries ranked by military strength 2016", kwa taarifa yako Tanzania ni ya 96, nchi ya 27 ni Spain.
Kuna vigezo zaidi ya 50
 
Labda 27 kwa kupasua matofali
Kenya namba moja kwa unyooone na wizi duniani. Jeshi la kenya wamelegea kama mrenda ndio maana wanashangaa kuona wanaume wakipasua tofari.
Hebu muone askari huyu wa kenya kapigwa fimbo moja tu mkono ukapukutika. Mwanajeshi gani lege lege hivyo kama mrenda!!!?
Mkenay.jpg
 
Annael Kichwa wazi, Kwa kukusaidia tu tembelea site hii ujifunze sio kuropokaropoka kwenye jamvi: www.globalfirepower.com "Countries ranked by military strength 2016", kwa taarifa yako Tanzania ni ya 96, nchi ya 27 ni Spain.
Kuna vigezo zaidi ya 50
Vigezo vipi hivyo si uvitaje!!? Mbona kama hujiamini vile!!!?
 
Vigezo vipi hivyo si uvitaje!!? Mbona kama hujiamini vile!!!?

Tembelea hiyo site ujionee, usije kusema nimebuni maana inaonyesha wewe ni Zero kabisa, kama huna bundle nipe namba ni kutigo-pesa, maana na huu ukata hamkawii kupiga mizinga!
 
Sikubaliani na Vigezo vilivyotumika, nchi yetu ni kubwa na ina mipaka nane na bahari ya Hindi.
Kimantiki Amani ya nchi yetu na wingi wa mipaka ni kielelezo cha kutosha kusema Jeshi letu inafanya kazi kubwa kiasi ya kuwa juu katika ranks za ubora wa majeshi ya Dunia tofauti ilivyo sasa.
Anyway kwa sababu wakubwa wamesema Jeshi letu liko chini katika ranks za majeshi, kiuhalisia hali hiyo itumike kulihimalisha jeshi letu na tusiwape updates zozote juu ya uimara wa Jeshi letu.
 
Tembelea hiyo site ujionee, usije kusema nimebuni maana inaonyesha wewe ni Zero kabisa, kama huna bundle nipe namba ni kutigo-pesa, maana na huu ukata hamkawii kupiga mizinga!
Wewe ni mtanzania au wa kuja?
 
Wewe ni mtanzania au wa kuja?

Kweli wewe ni Ana kichwa wazi! Kwani hiyo ndio mada? Ghafla umekuwa uhamiaji! Nilijua kwamba wewe ni mweupe kabisa hautakawia kulia meee! Zama hizi za TEHAMA data ziko kiganjani huwezi mdanganya mtu!
 
Kweli wewe ni Ana kichwa wazi! Kwani hiyo ndio mada? Ghafla umekuwa uhamiaji! Nilijua kwamba wewe ni mweupe kabisa hautakawia kulia meee! Zama hizi za TEHAMA data ziko kiganjani huwezi mdanganya mtu!
Nimekuuliza swali unaleta porojo. Jibu swali nililokuuliza. data ziko kiganjani nani anaziweka? Mbona unakuwa mshamba kiasi hicho?
Unadhani kama TPDF haitaki kutoa hizo data watazipata wapi?
Usiwe kichwa panzi basi wewe. TPDF ndio wanaotoa data na ndio hao wamekueleza ni namba 27. Sasa wewe unakuja na porojo hapa kuweka bra bra bra. Hebu waulize hao wamepata wapi hizo info?
 
Shu

Shule ndogo, kichwa kidogo na akili ndogo sana, kaa ulivyo usinipotezee muda! Bs
 
Shu

Shule ndogo, kichwa kidogo na akili ndogo sana, kaa ulivyo usinipotezee muda! Bs
Basi kojoa ukalale au endelea kuuza vocha za voda na tigo.
 
kdf wakivua sare ndo itafanya al shabaab wavae sare au?the point is al shabaab hawana sare na wamejichanganya mijini na raia.sio msituni kama mlivyopigana na m23.mbona hao waliokuwa boni forest hawakuonyesha huo ubabe wao walivyofatwa ndio tukajua kweli al shabaab niwanaume.walitoroka bila kurusha bomu ata moja wakakimbia somalia kujichanganya na raia ili wasijulikane
Kwani nyinyi mipoenda somalia mlipatana na al shabbab wasitumie baadhi ya mbinu hivi unajua vita kweli wewe acheni upumbavu piganeni atutaki kulialia hiyo ni haki yao kupigana wanavyoweza
 
Kwani nyinyi mipoenda somalia mlipatana na al shabbab wasitumie baadhi ya mbinu hivi unajua vita kweli wewe acheni upumbavu piganeni atutaki kulialia hiyo ni haki yao kupigana wanavyoweza
haki....kueka maisha ya civilians at risk ndio haki?
 
Back
Top Bottom