TPDF (Wazee wa kazi) watumia masaa sita kuliopoa lori

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Team kutoka JWTZ imefika Wami ikiwa na Gari mbili za uokoaji na imefanikiwa kulichomoa Lori hilo leo, awali kabla ya Jeshi kuingilia kati waokoaji wa kwanza walishindwa kutokana na madai ya uwepo wa kina kirefu, kasi ya maji, maji machafu nk, hadi kufanya Mwajuma akate tamaa na kurudi DSM.

MY TAKE; Tanzania hoyeeeeeee
 
Unajua tatizo Pumbavu kama wewe unakuwa hujawahi kufika Wami wala Likoni. Unafananisha Mtoni na Baharini
Sasa wewe mwelevu tueleze basi acha mapovu! Kwa maoni yangu Wami ni hatari zaidi kwa kuwa maji yanakimbia sana pale pia kuna mamba wengi pale. Baharini maji hayakimbii kama mtoni pia maji ni masafi ukilinganisha na maji ya mtoni hivyo nategemea operation ya baharini iwe nyepesi zaidi. Haya nipe na wewe ujuzi wako boss!
 
Kweli kabisa...ila Sasa engine imeeenda wapi mkuu
 
Sasa wewe mwelevu tueleze basi acha mapovu! Kwa maoni yangu Wami ni hatari zaidi kwa kuwa maji yanakimbia sana pale pia kuna mamba wengi pale. Baharini maji hayakimbii kama mtoni pia maji ni masafi ukilinganisha na maji ya mtoni hivyo nategemea operation ya baharini iwe nyepesi zaidi. Haya nipe na wewe ujuzi wako boss!
Hajui lolote kazi yake kupiga domo tu, hiyo Engine ya hiyo Scania iluyosombwa na maji, uzito wake ni Mara Tatu ya kale kagari kalikozama kule likoni Mombasa, lakini hakakusombwa na MAJI, hiyo inaonyesha ni kiasi gani maji ya mto Wami yanavyokwenda kwa kasi hasa kipindi hiki cha mvua nyingi.
 
Tena maji baridi kuogelea mazito kuliko ya bahari na pia yanavuta inabidi ishindane nayo yeye anatishika na jina bahari
 
Wanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!

Nyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
 
Unajua tatizo Pumbavu kama wewe unakuwa hujawahi kufika Wami wala Likoni. Unafananisha Mtoni na Baharini
Wewe unatishika na neno bahari ila kaa ukijua maji ya bahari yametulia na meupe ukizamia kuona chini ya maji ni lahisi pia hata kuogelea maji ya bahari mepesi kilinganisha na ya mto kingine maji ya mto yanavuta
 
Wanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!
Masaa sita kuopoa gari mtoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
Unajua maana ya muda wa kazi?, ni kuanzia pale unapokabidhiwa kazi kuifanya, JW waliamua kuingilia kati baada ya makampuni binafsi ambao ndio wenye jukumu la kuitoa.

Kenya Serikali yenu na vyombo vyake vyote vilianza kazi na kuhamia eneo la tukia siku ya kwanza tu baada ya Gari kutumbukia baharini, walikamisha hilo zoezi baada ya siku 24.

JW hawakua na jukumu wala wajibu wa kuitoa hiyo Gari, baada ya kuona waneshindwa hizo kampuni binafsi, ndio JW wakaona huruma na kuamua kumsaidi, muda wa kazi wa JW ni masaa 6 tu.
 
Hajitambui huyo hapo alipo a njaa inamuuma ameingia humu lengo kupoteza njaa tu kama wakenya wenzake wanavyokimbilia kupoteza njaa kwa kuvuta gundi.
 
Nyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
Haiwezekani likitokea tatizo tu Jw wakimbilie kutatua ikiwa kuna makampuni imewekeza kwenye hizo kazi ,Jw wanaenda sehem c kwa kufanya kazi kama ajira bali kwa msaada baada wote kushindwa .sasa uwezi muda uliotumika na watu binafsi kuokoa like roli ukaujumlisha kwa JW hapo ndipo unapoonekana kama wewe haya two . Hata kazini haiwezekani uingie saa8 ukawa unatoka saa4 ukajumlishiwa kuanzia asubuhi saa 1 wakati saa1 mpaka saa 8 kulikuwa na mtu mwengine.
 
Back
Top Bottom