joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Team kutoka JWTZ imefika Wami ikiwa na Gari mbili za uokoaji na imefanikiwa kulichomoa Lori hilo leo, awali kabla ya Jeshi kuingilia kati waokoaji wa kwanza walishindwa kutokana na madai ya uwepo wa kina kirefu, kasi ya maji, maji machafu nk, hadi kufanya Mwajuma akate tamaa na kurudi DSM.
MY TAKE; Tanzania hoyeeeeeee
MY TAKE; Tanzania hoyeeeeeee