joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unajua tatizo Pumbavu kama wewe unakuwa hujawahi kufika Wami wala Likoni. Unafananisha Mtoni na BahariniWanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!
Sasa wewe mwelevu tueleze basi acha mapovu! Kwa maoni yangu Wami ni hatari zaidi kwa kuwa maji yanakimbia sana pale pia kuna mamba wengi pale. Baharini maji hayakimbii kama mtoni pia maji ni masafi ukilinganisha na maji ya mtoni hivyo nategemea operation ya baharini iwe nyepesi zaidi. Haya nipe na wewe ujuzi wako boss!Unajua tatizo Pumbavu kama wewe unakuwa hujawahi kufika Wami wala Likoni. Unafananisha Mtoni na Baharini
Kweli kabisa...ila Sasa engine imeeenda wapi mkuuSasa wewe mwelevu tueleze basi acha mapovu! Kwa maoni yangu Wami ni hatari zaidi kwa kuwa maji yanakimbia sana pale pia kuna mamba wengi pale. Baharini maji hayakimbii kama mtoni pia maji ni masafi ukilinganisha na maji ya mtoni hivyo nategemea operation ya baharini iwe nyepesi zaidi. Haya nipe na wewe ujuzi wako boss!
Hajui lolote kazi yake kupiga domo tu, hiyo Engine ya hiyo Scania iluyosombwa na maji, uzito wake ni Mara Tatu ya kale kagari kalikozama kule likoni Mombasa, lakini hakakusombwa na MAJI, hiyo inaonyesha ni kiasi gani maji ya mto Wami yanavyokwenda kwa kasi hasa kipindi hiki cha mvua nyingi.Sasa wewe mwelevu tueleze basi acha mapovu! Kwa maoni yangu Wami ni hatari zaidi kwa kuwa maji yanakimbia sana pale pia kuna mamba wengi pale. Baharini maji hayakimbii kama mtoni pia maji ni masafi ukilinganisha na maji ya mtoni hivyo nategemea operation ya baharini iwe nyepesi zaidi. Haya nipe na wewe ujuzi wako boss!
Tena maji baridi kuogelea mazito kuliko ya bahari na pia yanavuta inabidi ishindane nayo yeye anatishika na jina bahariHajui lolote kazi yake kupiga domo tu, hiyo Engine ya hiyo Scania iluyosombwa na maji, uzito wake ni Mara Tatu ya kale kagari kalikozama kule likoni Mombasa, lakini hakakusombwa na MAJI, hiyo inaonyesha ni kiasi gani maji ya mto Wami yanavyokwenda kwa kasi hasa kipindi hiki cha mvua nyingi.
Wanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!
Wewe unatishika na neno bahari ila kaa ukijua maji ya bahari yametulia na meupe ukizamia kuona chini ya maji ni lahisi pia hata kuogelea maji ya bahari mepesi kilinganisha na ya mto kingine maji ya mto yanavutaUnajua tatizo Pumbavu kama wewe unakuwa hujawahi kufika Wami wala Likoni. Unafananisha Mtoni na Baharini
Masaa sita kuopoa gari mtoni[emoji23][emoji23][emoji23]Wanajeshi wa Kenya walichukuwa wiki mbili kutoa maiti na gari ndogo kwenye kivuko cha baharini kule Mombasa!! JWTZ wametumia masaa 6 kutoa gari kubwa tena mtoni!! Kweli Kunyaland ni shida. MK254 unaitwa huku!!
Unajua maana ya muda wa kazi?, ni kuanzia pale unapokabidhiwa kazi kuifanya, JW waliamua kuingilia kati baada ya makampuni binafsi ambao ndio wenye jukumu la kuitoa.Nyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
Hajitambui huyo hapo alipo a njaa inamuuma ameingia humu lengo kupoteza njaa tu kama wakenya wenzake wanavyokimbilia kupoteza njaa kwa kuvuta gundi.Unajua maana ya muda wa kazi?, ni kuanzia pale unapokabidhiwa kazi kuifanya, JW waliamua kuingilia kati baada ya makampuni binafsi ambao ndio wenye jukumu la kuitoa.
Kenya Serikali yenu na vyombo vyake vyote vilianza kazi na kuhamia eneo la tukia siku ya kwanza tu baada ya Gari kutumbukia baharini, walikamisha hilo zoezi baada ya siku 24.
JW hawakua na jukumu wala wajibu wa kuitoa hiyo Gari, baada ya kuona waneshindwa hizo kampuni binafsi, ndio JW wakaona huruma na kuamua kumsaidi, muda wa kazi wa JW ni masaa 6 tu.
Haiwezekani likitokea tatizo tu Jw wakimbilie kutatua ikiwa kuna makampuni imewekeza kwenye hizo kazi ,Jw wanaenda sehem c kwa kufanya kazi kama ajira bali kwa msaada baada wote kushindwa .sasa uwezi muda uliotumika na watu binafsi kuokoa like roli ukaujumlisha kwa JW hapo ndipo unapoonekana kama wewe haya two . Hata kazini haiwezekani uingie saa8 ukawa unatoka saa4 ukajumlishiwa kuanzia asubuhi saa 1 wakati saa1 mpaka saa 8 kulikuwa na mtu mwengine.Nyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
Sisi tumetumia masaa sita nyinyi wiki mbili hahahahahahaNyie imewachukua karibu mwezi kutoa gari kwenye mto, like seriously kwenye mto, halafu mlivyo majizi nimeona tayari mumeiba engine.
Mtoni karibia mwezi, tena nchi nzima[emoji23][emoji23]Sisi tumetumia masaa sita nyinyi wiki mbili hahahahahaha
Siku 24 sio wiki mbiliSisi tumetumia masaa sita nyinyi wiki mbili hahahahahaha