TPDF (Wazee wa kazi) watumia masaa sita kuliopoa lori

Mtu anayelinganisha ugumu wa kuopoa gari kutoka mtoni na baharini ana matatizo ya akili. Bahari ni ligi nyingine tofauti.
Wewe ndio choko, kati ya mtoni na baharini wapi maji yanapita kwa kasi?, wapi MAJI ni machafu, wapi ndani kuna matakataka na mawe mengi?, ninyi hamna kitu mnaweza, kila kitu lazima mtatoa sababu, yaani ninyi in hovyo sana.
1) Alshabaaab sio rahisi kuwashinda kwasababu wanachanganyika na RAIA
2)Tunakufa kwa njaa kwasababu ardhi yenu in jangwa
3)Hatuwezi kuwapokonya Turkana na pokot silaha kwasababu wanalenga shabaha sana
4)Tulichelewa kulitoa Gari kwasababu pale likoni kuna kina kirefu sana
5)................

Next excuse please........
 
Hivi "jeshi" la zimamoto na uokozi wajibu wao ni nini hasa kwenye majanga kama haya?
Kushughulika na kuokoa, walikuwepo siku ya tatu ndio waliofanikisha kuupata mwili wa dereva. Hawahusiki na kutoa magari kwasababu hiyo ni ajira ya makampuni ya kibinafsi, Serikali haipaswi kugombana na kampuni binafsi kwasababu zinalipa kodi.

Katika hii ajali, kama kampuni binafsi wasingekiri kushindwa hiyo kazi, Jeshi lisingeingilia wala kuitoa hiyo Gari. Kazi ya jeshi la zimamoto ni kuokoa maisha na kuopoa miili ya binadamu bure bila malipo yoyote.
 
Mabeyo big up general
 
Wametuma ujumbe mbaya kwa wasiotaka kununua bima.

Mfanyabiashara ameamua ku save gharama za bima kwa kubeba risks mabegani mwake.

Anatakiwa ashtakiwe na familia ya marehemu dereva, hilo chasis na matairi yauzwe ilipwe familia na recovery costs za jeshi, at least diesel ya vile vyombo vizito.

Serikali haitakiwi kufanya kazi kwa huruma ya mtu mmoja mmoja, napita sana Sekenke, kuna mi vyombo imetumbukia mule imeachwa mumo mumo, mbona serikali haikuwa na huruma?

Serikali zetu nchi changa zina udhaifu katika kupanga taratibu za kutoa misaada kwa kutumia kodi zetu.
 
Una force ujinga ili na nyie muonekane mnaweza..
Inaonekana hukujua pale likoni km palikuaje[emoji23][emoji23]
 

Meli za vita tunazo kadhaa ilhali nyie hata moja hamna, hamjafikia hadhi ya kuitwa navy, mnayo tu aina ya kuvua samaki.
 
Meli za vita tunazo kadhaa ilhali nyie hata moja hamna, hamjafikia hadhi ya kuitwa navy, mnayo tu aina ya kuvua samaki.
YUN CHUN CLASS tunazo mbili, ni meli kubwa sana kuliko hiyo yenu MV- Jasiri, zote ni mpya zimetengenezwa 2012.
Urefu. 17.1M
Displacement 63tonnes

Weka size ya MV- jasiri tulinganishe. Kwanza ni chakavu haina mitambo ya kisasa, ni ndogo na ni hiyo moja pekee.

Tunazo meli mbili saizi ya kati, Nazi zipo mbili zenye kubeba vifaru(amphibious tanks), Kenya hamna hizo wala hata amphibious tanks hamjawahi ziona.


Navy ya Tanzania huwezi linganisha na Kenya
 
Hajarudi kukujibu!

Huyo mjinga yeye ni kupotosha pamoja na uwongo ndio anachojua,

Kwenye hoja huwa harudi na akirudi anabadilisha mada.
 
Hajarudi kukujibu!

Huyo mjinga yeye ni kupotosha pamoja na uwongo ndio anachojua,

Kwenye hoja huwa harudi na akirudi anabadilisha mada.
Atarudi na swaga za nchi yenu kubwa ina ardhi yenye rutuba, madini na amani tele lakini masikini, havihusiani kabisa na mada husika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…