joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #41
Wewe ndio choko, kati ya mtoni na baharini wapi maji yanapita kwa kasi?, wapi MAJI ni machafu, wapi ndani kuna matakataka na mawe mengi?, ninyi hamna kitu mnaweza, kila kitu lazima mtatoa sababu, yaani ninyi in hovyo sana.Mtu anayelinganisha ugumu wa kuopoa gari kutoka mtoni na baharini ana matatizo ya akili. Bahari ni ligi nyingine tofauti.
1) Alshabaaab sio rahisi kuwashinda kwasababu wanachanganyika na RAIA
2)Tunakufa kwa njaa kwasababu ardhi yenu in jangwa
3)Hatuwezi kuwapokonya Turkana na pokot silaha kwasababu wanalenga shabaha sana
4)Tulichelewa kulitoa Gari kwasababu pale likoni kuna kina kirefu sana
5)................
Next excuse please........