TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

[emoji23][emoji23][emoji23]Kupasha misuli moto?

Na wale wachezaji 3 (ndemla,kichuya,niyonzima) waliosafirishwa haraka sana kwenda zanzibar walikiwa wanaenda kupasha moto nini? [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongeza nguvu kwenye kikosi baada ya Soura kula 3G... Nafikiri unajua Azam fc walikuwa full mkoko kwa hiyo ilikuwa kwa ajili kuboost wale madogo.
 
Kuongeza nguvu kwenye kikosi baada ya Soura kula 3G... Nafikiri unajua Azam fc walikuwa full mkoko kwa hiyo ilikuwa kwa ajili kuboost wale madogo.

Ndicho ninacho zungumzia hapa.

Nini maana ya kuwa na kikosi kipana ikiwa wachezaji wale wale wanacheza mechi 2 ndani ya siku 2.

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndicho ninacho zungumzia hapa.

Nini maana ya kuwa na kikosi kipana ikiwa wachezaji wale wale wanacheza mechi 2 ndani ya siku 2.

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulitaka twende dar na wachezaji 11 tu ndugu, kwani hapo Yanga hakuna wachezaji zaidi ya 25?.. Yale ni mawazo ya walimu ,nguvu yetu kubwa ilikuwa kwa waarabu.
 
Kweli kabisa anayebisha akaangalie list ya magoli 10 bora Azam Tv karibia yote yamefungwa na wachezaji wa Yanga mupooooooo?
Simba yetu CAF wanayo,.. hii ndio tofauti yetu na nyie.
 
Kamati ya masaa 72 ya TFF imepanga kuwaita wachezaji wa Yanga na kuwahoji iwapo ni kweli timu hiyo ina njaa au wanakula kwa siri. Hatua hiyo ni baada ya wachezaji wa Yanga kufunga magoli kwa umbali wa zaidi ya mita 40 yakiwa na mwendo kasi wa 160KM/HR. Magoli yaliyoiponza Yanga mpaka kufikishwa kwenye kamati hiyo ni magoli ya Ibrahim Ajib na lile la Faisal Salum kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Mwadui Fc. Na pia kamati hiyo ya masaa 72 inatafakari goli la tambwe baada ya kuruka juu na kukaa kama dk moja na kupiga kichwa kilisababisha kipa wa mwadui kutaka kuvunjika nyonga na kuacha mpira uende nyavuni🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nimecheka mpaka basi wewe ni noma ngoja niwatumie wana simba wengine
 
Hivi kwanini machi ya kumalizia Ligi kati ya Azam na Yanga imerukwa.
Na watakutana lini ?
Lengo langu ni kuuona huu mpambano ambao nadhani utakuwa mzuri.
Maana kwakweli sasa hivi Yanga wanaupiga mpira mwingi sana na Azam pia.
Ni hamu ya kuwaona wakikipiga pale kwa Mchina.
Sisi Simba tuko kimataifa kwanza.
Tunakuombeni nyote mtuombee tufike fainali na kunyakua Kombe la Club Bingwa wa Africa.
Kwa faida yetu na yenu na taifa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom