Kuongeza nguvu kwenye kikosi baada ya Soura kula 3G... Nafikiri unajua Azam fc walikuwa full mkoko kwa hiyo ilikuwa kwa ajili kuboost wale madogo.[emoji23][emoji23][emoji23]Kupasha misuli moto?
Na wale wachezaji 3 (ndemla,kichuya,niyonzima) waliosafirishwa haraka sana kwenda zanzibar walikiwa wanaenda kupasha moto nini? [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuongeza nguvu kwenye kikosi baada ya Soura kula 3G... Nafikiri unajua Azam fc walikuwa full mkoko kwa hiyo ilikuwa kwa ajili kuboost wale madogo.
Achana naye huyo mshamba, Simba ilitokea ligi gani kucheza Klabu bingwa Afrika kama sio hiyo ligi ya Bongo unayoidharau? na mpaka sasa bado mnagombania kombe ili na mwakani mcheze. Penda chakwakoWalipata hiyo ticket kwa kupitia Ligi gani Mkuu,au kuwa mshindi wa pili kombe la Mapinduzi Nchini Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Captain yuko vzr... Haruna japo hapati nafasi ya kucheza sana mpe japo assist aliyompa SALAMBA dhidi KMC ndugu.
Ibrahim Ajibu [emoji411]
[emoji460]Magoli 6
[emoji3581]Assists 14
Haruna Niyonzima [emoji411]
[emoji706]
[emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa anayebisha akaangalie list ya magoli 10 bora Azam Tv karibia yote yamefungwa na wachezaji wa Yanga mupooooooo?
Kumbe ulitaka twende dar na wachezaji 11 tu ndugu, kwani hapo Yanga hakuna wachezaji zaidi ya 25?.. Yale ni mawazo ya walimu ,nguvu yetu kubwa ilikuwa kwa waarabu.
Ndicho ninacho zungumzia hapa.
Nini maana ya kuwa na kikosi kipana ikiwa wachezaji wale wale wanacheza mechi 2 ndani ya siku 2.
[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesabu Simba mmebaki na mechi ngapi alafu tufanye mtashinda zote jumlisha point zenu mtawafikia Yanga? Jiongeze
Simba yetu CAF wanayo,.. hii ndio tofauti yetu na nyie.Kweli kabisa anayebisha akaangalie list ya magoli 10 bora Azam Tv karibia yote yamefungwa na wachezaji wa Yanga mupooooooo?
ahhh na ile ya msimbazi aimo au wao awaongozwiBahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app
ahhh na ile ya msimbazi aimo au wao awaongozwiBahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nguvu kubwa pia ilikuwa kwa Mapinduzi Cup.Kumbe ulitaka twende dar na wachezaji 11 tu ndugu, kwani hapo Yanga hakuna wachezaji zaidi ya 25?.. Yale ni mawazo ya walimu ,nguvu yetu kubwa ilikuwa kwa waarabu.
Kila mtu amethibitisha thamani ya pesa aliyosajiliwa.Captain yuko vzr... Haruna japo hapati nafasi ya kucheza sana mpe japo assist aliyompa SALAMBA dhidi KMC ndugu.
ikawaje sasa?Mwadui piga haoooooooo
Nimecheka mpaka basi wewe ni noma ngoja niwatumie wana simba wengineKamati ya masaa 72 ya TFF imepanga kuwaita wachezaji wa Yanga na kuwahoji iwapo ni kweli timu hiyo ina njaa au wanakula kwa siri. Hatua hiyo ni baada ya wachezaji wa Yanga kufunga magoli kwa umbali wa zaidi ya mita 40 yakiwa na mwendo kasi wa 160KM/HR. Magoli yaliyoiponza Yanga mpaka kufikishwa kwenye kamati hiyo ni magoli ya Ibrahim Ajib na lile la Faisal Salum kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Mwadui Fc. Na pia kamati hiyo ya masaa 72 inatafakari goli la tambwe baada ya kuruka juu na kukaa kama dk moja na kupiga kichwa kilisababisha kipa wa mwadui kutaka kuvunjika nyonga na kuacha mpira uende nyavuniπ€£π€£π€£π€£π€£
ππππππKikosi chao wanachokiita kipana kimeshindwa hata kubeba Mapinduzi Cup.
Leo hii wanawaza CAF..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zaidi ya hapo. Wanawaongoza wanaojisifu kuongoza Ligi ya Mabingwa wa Afrika, ambao wamefungwa na Mbao na Mashujaaa.Bahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app