Ratiba imewasaidia Azam maana wametoka kucheza juzi wana uchovu tungewafunga vizuriHivi kwanini machi ya kumalizia Ligi kati ya Azam na Yanga imerukwa.
Na watakutana lini ?
Lengo langu ni kuuona huu mpambano ambao nadhani utakuwa mzuri.
Maana kwakweli sasa hivi Yanga wanaupiga mpira mwingi sana na Azam pia.
Ni hamu ya kuwaona wakikipiga pale kwa Mchina.
Sisi Simba tuko kimataifa kwanza.
Tunakuombeni nyote mtuombee tufike fainali na kunyakua Kombe la Club Bingwa wa Africa.
Kwa faida yetu na yenu na taifa kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa.....nimechekaje?Kamati ya masaa 72 ya TFF imepanga kuwaita wachezaji wa Yanga na kuwahoji iwapo ni kweli timu hiyo ina njaa au wanakula kwa siri. Hatua hiyo ni baada ya wachezaji wa Yanga kufunga magoli kwa umbali wa zaidi ya mita 40 yakiwa na mwendo kasi wa 160KM/HR. Magoli yaliyoiponza Yanga mpaka kufikishwa kwenye kamati hiyo ni magoli ya Ibrahim Ajib na lile la Faisal Salum kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Mwadui Fc. Na pia kamati hiyo ya masaa 72 inatafakari goli la tambwe baada ya kuruka juu na kukaa kama dk moja na kupiga kichwa kilisababisha kipa wa mwadui kutaka kuvunjika nyonga na kuacha mpira uende nyavuni🤣🤣🤣🤣🤣
Mashujaa hawakupaki basi kwa Simba kama Yanga walivyopaki na watakavyopaki kwenye mechi ya marudiano, ni full basi la mwendokasiKiwango kizuri kilikuwa mlivyocheza na Mashujaa Musica.
Tukimaliza viporo vyote kwa ushindi mtasema tumenunua.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mlijua mnatutanguliza tuharibu kumbe wenzenu tunashine tu. Haya pasheni hivyo viporo 5 tuone.
Underdog maana yake sio dhaifuNi kweli kabisa ligi ya Bongo ni dhaifu mno.Ndiyo maana Timu inayotoka kwenye ligi dhaifu lazima kwenye mashindano ya kimataifa ichukuliwe kama dhaifu.Nadhani Simba wameanza kumuelewa Shaffih Dauda aliposema Simba ni Underdog kwenye kundi lake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Na ndivyo itakavokuwaToo much is harmful
Viporo vimekuwa vingi mno Kuna hatari ya kutengeneza mazingira ya upangaji wa matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu gani kati ya hizo hatujacheza Nayo?Mpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatafutwa point siyo mbwembweMashujaa hawakupaki basi kwa Simba kama Yanga walivyopaki na watakavyopaki kwenye mechi ya marudiano, ni full basi la mwendokasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi kusema hivyo sababu bado tutakuwa tumewawacheni kwa five points.
Hahahaaa. Hata tulivyoenda kucheza na Kagera round ya kwanza mlisema hivyo hivyo. 😃😃😃😃Mpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa. Mshaanza hofu.Mashujaa hawakupaki basi kwa Simba kama Yanga walivyopaki na watakavyopaki kwenye mechi ya marudiano, ni full basi la mwendokasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Mwl Kashasha. 🤣🤣🤣🤣Kamati ya masaa 72 ya TFF imepanga kuwaita wachezaji wa Yanga na kuwahoji iwapo ni kweli timu hiyo ina njaa au wanakula kwa siri. Hatua hiyo ni baada ya wachezaji wa Yanga kufunga magoli kwa umbali wa zaidi ya mita 40 yakiwa na mwendo kasi wa 160KM/HR. Magoli yaliyoiponza Yanga mpaka kufikishwa kwenye kamati hiyo ni magoli ya Ibrahim Ajib na lile la Faisal Salum kwenye mechi ya Yanga dhidi ya Mwadui Fc. Na pia kamati hiyo ya masaa 72 inatafakari goli la tambwe baada ya kuruka juu na kukaa kama dk moja na kupiga kichwa kilisababisha kipa wa mwadui kutaka kuvunjika nyonga na kuacha mpira uende nyavuni🤣🤣🤣🤣🤣
Unaniangusha Sana swaibaHatuwezi kusema hivyo sababu bado tutakuwa tumewawacheni kwa five points.
Nimesema vipasheni kwanza sababu huwa saa zingine haviaminikagi hivyo.
poleni sanaSimba kuikamata labda nusu fainali uko Huku kwenye makundi sio issue
Ni Jambo la kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiaje sa?
Kuamini mnyama anaenda kufungwa kule kwa kina faly IpupaKiaje sa?