Hahahaaa. Swahiba tuombe Uzima Insha Allah hiyo jumamosi ifike.Kuamini mnyama anaenda kufungwa kule kwa kina faly Ipupa
Wakati unajua Kuna okwi, chama na kagere
Sent using Jamii Forums mobile app
InshAllah ila usinikimbie maana ndo zako Hadi nikutafute kwa tochiHahahaaa. Swahiba tuombe Uzima Insha Allah hiyo jumamosi ifike.
Yanga hawachezi Manungu...Yanga bingwa 2019..Azam pumzi zimekata..washachukua kombe lao la mbuzi Mara tatu...Yanga anachukua mfululizo VPL ..kweli Mungu sio BashiteMpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha. Wakinunua na dafu watapata tiba ya mambo mengi. Ndimu itawasaidia wasitapikeNa Dafu. πππ
Ewaaaaa. ππHahahaha. Wakinunua na dafu watapata tiba ya mambo mengi. Ndimu itawasaidia wasitapike
Kikwetu tunasema kutesekalazima. πππLile goli la Fei Toto kikwetu tunaliita shidakwajirani je kikwenu
Mfululizo upi saivi mpo nalo?Yanga hawachezi Manungu...Yanga bingwa 2019..Azam pumzi zimekata..washachukua kombe lao la mbuzi Mara tatu...Yanga anachukua mfululizo VPL ..kweli Mungu sio Bashite
Unadhani huwa nakimbia basi. Majukumu tu saa nyingine yanafanya nisishike simu.InshAllah ila usinikimbie maana ndo zako Hadi nikutafute kwa tochi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka πππ
Sasa hivi mmeanza kuhesabu Timu za kutufunga habari za Mikoani imekufa?Mpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Azam na Simba but Mtibwa alipigwa kwao, Coast pia tushajipigia kwa hiyo sio issueMpite kwa Mtibwa Manungu, Simba, Azam, Coast mtakuwa wanaume kweli na ubingwa nawapa
Sent using Jamii Forums mobile app