Si unajua akili za kipumbavu na njama za Mikia watakuwa walimuhonga hela ili asirudi wakidhani Yanga haitashinda,sasa leo tunawatumia salamuMakambo hajapoteza mawasiliano ...anarudi kesho au leo alfajiri kwa kupitia Ethiopia...
Aibu yake nini?
huko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa maana huko itakuwa ni totally fiesco mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, na kipigo juu na mkitudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apoSimba wako mbali Sana kwa kiwango ukilinganisha na hizi timi za bongo zilizobaki
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii Ni dua , sala au utabiri?huko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa masna itakuwa ni total fiesta mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, mkirudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apo
napoteza mwelekeo na kuwa jamvi la wageni
Hao simba mbona wanafungwa na timu za bongo? Kweli jamaa anateseka.