TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Simba wako mbali Sana kwa kiwango ukilinganisha na hizi timi za bongo zilizobaki

Sent using Jamii Forums mobile app
huko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa maana huko itakuwa ni totally fiesco mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, na kipigo juu na mkitudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apo
mnapoteza mwelekeo na kuwa jamvi la wageni
 
huko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa masna itakuwa ni total fiesta mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, mkirudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apo
napoteza mwelekeo na kuwa jamvi la wageni
Mkuu hii Ni dua , sala au utabiri?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom