Nadhani hawakuwa serious mkuu sio kwa pira lile walilopiga na waarabu SaouraHao simba mbona wanafungwa na timu za bongo? Kweli jamaa anateseka.
huu ndiyo ukweli wenyewe, hivi simba mnafikiri mtaendelea kufunga magoli ya offside mpaka lini? yaaani bao 3 zootee za offside duuuu alooo kweli mliokota dodo mchangani
Achana na hao mashabiki wa mama HinduHao simba mbona wanafungwa na timu za bongo? Kweli jamaa anateseka.
Kuna goli la offside wapi uko ? CAF sikuhizi wanatumia VAR ukuona fainali ya champions leaguehuu ndiyo ukweli wenyewe, hivi simba mnafikiri mtaendelea kufunga magoli ya offside mpaka lini?
Hakipo chini kihivyo.
Frank kwa yanga hii ya leo simba mnaweza kucheza nayo ama mtakwepa kuepuka fedheha?Si unajua akili za kipumbavu na njama za Mikia watakuwa walimuhonga hela ili asirudi wakidhani Yanga haitashinda,sasa leo tunawatumia salamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipata hiyo ticket kwa kupitia Ligi gani Mkuu,au kuwa mshindi wa pili kombe la Mapinduzi Nchini Zanzibar?Daaah Ligi ya Tanzania dhaifu Sana Bora Simba wanacheza ligi ya Mabingwa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakukumbusha hii match ni ya round ya pili kwa Kiswahili wanasema MZUNGUKO WA PILI.
Yanga ni ile ile Daima,hata match ya round ya kwanza mlisema hivi hivi mwisho wa siku mkasingizia UchawiFrank kwa yanga hii ya leo simba mnaweza kucheza nayo ama mtakwepa kuepuka fedheha?
Kwa Yanga hi usitegemee akiwa bingwa afanya lolote Africa kwa kikosi hikiWalipata hiyo ticket kwa kupitia Ligi gani Mkuu,au kuwa mshindi wa pili kombe la Mapinduzi Nchini Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Viporo umesahau mkuuNakukumbusha hii match ni ya round ya pili kwa Kiswahili wanasema MZUNGUKO WA PILI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC
Utapata tabu sana mkuu kwa bahati za Yanga
Mashabiki wa simba wanaongeaga kama vile wamekula ulanziWalipata hiyo ticket kwa kupitia Ligi gani Mkuu,au kuwa mshindi wa pili kombe la Mapinduzi Nchini Zanzibar?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga ameingia best 16 mara nyingi kuliko Simba, na fedha alikuwa akitoa nani?Kwa Yanga hi usitegemee akiwa bingwa afanya lolote Africa kwa kikosi hiki
Massive investment inahitajika kupambana kule
Usitegemee kutembeza bakuli litasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app