Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba wamebahatisha goli la pili....hatari sana....adui yako muombee njaa tu[emoji33][emoji33]. Yanga forever [emoji111][emoji111]
Kwenye bakuli kina kila kituWakifunga Yanga eti ni muamala....Halafu hawa Yanga watatembeza vipi muamala wakati wao ni watembeza bakuli???!!!
Ukiangalia mpira huwezi elewi Yanga wanafungaje maana hata kupiga pass 5 hawaweziUmenichekesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba wamebahatisha goli la pili....hatari sana....adui yako muombee njaa tu[emoji33][emoji33]. Yanga forever [emoji111][emoji111]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Si mlisema Yanga njaa?!
Labda kombe la UkwataMimi ni Msimbazi lakini ningeshauri Yanga wapewe tu kombe lao tugange yajayo...
Mkuu unaongea tu badala ya kwenda kumkaba?
Mkuu inamaana yanga wanabutua mpira kutoka golini kwao nakisha unaingii moja kwa moja golini mwa mwadui nakua goli?
Simba haiwezekani kuchukua FA yanga ni asilimia zote, hata ligi kuu simba uwezekano ni mdogo mno wakati yanga uwezekano ni mkubwa na ikiwezekana waje wamkabidhi mapema wakati simba anarukaruka na viporo vyakeKama point yako ni FA Cup na unataka kutumia Logic.
Nipe probability ya Simba kuchukua FA na probability ya Yanga kuchukua FA.
0 vs 1/32.
Unaweza kubet hapo?
Umenikumbusha mbali sana Mkuu.tushaalikwa sana minuso na hawa sijui Ukwata dah! Anyway ngapi huko?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hiyo ndio Dar Es Salaam Young African Sports Club....daima mbele nyuma mwikoUkiangalia mpira huwezi elewi Yanga wanafungaje maana hata kupiga pass 5 hawawezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimiMimi ni Msimbazi lakini ningeshauri Yanga wapewe tu kombe lao tugange yajayo...