TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Siyo kweli...huo ni upotoshaji wenye lengo la kuleta mgawanyiko...Ni Young Africans Sports Club au Young Africans au Yanga..haya ndiyo majina matatu rasmi ya Yanga...na kwenye katiba yamo...hilo la kinachoitwa sijui Dar es Salaam Young Africans hupigiwa debe na waandishi wa habari/watangazaji uchwara
Haswaa kama ilivyo kwa wekundu wa msimbazi - Simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom