Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Possession wapelekee simba huko kwa yanga zungumzia point 3 tu,
Jumamosi mkishinda au kutoa droo nipigwe ban siku7.Hali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunazisubiri hizo pass zenu CongoUkiangalia mpira huwezi elewi Yanga wanafungaje maana hata kupiga pass 5 hawawezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kukujibu zaidi ya kusema yanga hayuko makini kana kwamba mchuano unakuwa kati ya yanga A dhidi ya yanga BIna maana timu
zote zilifungwa na yanga
Haziko makini?Vip Simba
ambaye alidroo na yanga
hakuna makin?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaa kama ilivyo kwa wekundu wa msimbazi - SimbaSiyo kweli...huo ni upotoshaji wenye lengo la kuleta mgawanyiko...Ni Young Africans Sports Club au Young Africans au Yanga..haya ndiyo majina matatu rasmi ya Yanga...na kwenye katiba yamo...hilo la kinachoitwa sijui Dar es Salaam Young Africans hupigiwa debe na waandishi wa habari/watangazaji uchwara