TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

TPL: Simba SC vs Alliance FC - October, 24.

Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
Ahaaa, kumbe rais, nilidhani amesema kocha
 
Mh raisi alishangaa kipa kufungwa magoli mepesi matatu kule cape Verde..huyu Manula atazamwe kwa jicho lingine..isije akawa analilia Tanzania one kama Wema anavyolilia Tanzania sweetheart.... kila Siku anafungwa magoli kutoka nje ya 18.. akitufungisha Lesotho atafute pa kukimbilia ...
Sasa beki KESSY na GADIEL unategemea nani azuie?
Usimsahau KITENGE alipiga hattrick pale taifa
 
CHAMA THE BEST
OKWI FANTASTIC
Wale ma'House girl wanaoshindia ndani tu nje hawatoki... Povu ruksa.
Kule NDALA hakuna wa kupata NAMBA huku UNYAMANI.. Sio kwa soka hili na Kikosi hiki.
ILA WA HUKU AKIENDA KULE anakua MANJI Wao kabisa.. [Mtani wa Jadi]
wa kule Anaeweza kupata namba huku labda Yondani tu.
Simba ni moto
 
Hongereni bana Watani zangu ila niseme tu sio jambo la kushangaza na kuwafanya mtaaambe wakati katimu kenyewe kako mkiani. Teh teh.

[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hahaha.. Ilikuaje mkakafunga goli 3 kwa taabu sana?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona Mtani ulivyolala na furaha kama yote.

Ila sijaona cha kushangaza ujue maana kama sisi Omba omba tulimfunga tatu wewe ulitegemea umfunge ngapi. [emoji3][emoji3][emoji3]
Na hapo najiuliza hivi nilikukosaje kwa mchina! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sibonike Hajar kyata Guasa Amboni Belo Prince Kunta Beira Boy hazard cfc logframe magnifico Super Don Mgagaa na Upwa na libeva
IMG-20181025-WA0005.jpeg
 
Leo Ajibu kaomba "apumzike" kwani mgongo unamuuma. Hivi timu haina daktari?
Kwenye nchi ya vipofu chongo ni mfalme. Bado hamjamjua Ajibu lakini muda sio mrefu mtaisoma namba.
 
Back
Top Bottom