Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Leo kicheko tuWakuu zangu nawatakia usiku mwema.
HahahahaMoja ya maajabu ya dunia Fellain anacheza Man U lakini huyu fundi Tripple C anacheza Simba SC.
Jangwani bana! Yaani lile pira jingi kiasi kile walilochezewa wakatisha tiketi wa Shinyanga hamakuliona na sasa mwasema magoli ya muamala! Hahahaaa, kweli akutukanae hakuchagulii tusiNakazia Mkuu
Mwaka wenu huu! Kweli unaamini hivo HajarHahahaaa. Mwaka wetu huu ila kama usemavyo tusubiri tuone Mtanim
Hahahaaa, for this statement you made my day sweetleeDynamo midfielder anatema mate kushoto anafukia kulia ...What a Player