Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Na kweli usenayo Mtani tuzidi kupambana nayo tu na nafasi ikipatikana tujumuike kama hivi tu refresh akili.W'Alekum Salaam Mtani
Mambo Tu Yanaenda Kombo Na Hii Kasi Ya Maisha Muda mwengine Unapotea Bila Kujijua Kma Umepotea.
Nipo Mtani Kitaani Tuh Uko Kwa Mchina Sijajaaliwa.
Naona Mwaka Wenu Huu Lakini Sikubaliani Na Ilo Mtani Muda Bado, Ngoja Tuone
Hahahaaa. Mwaka wetu huu ila kama usemavyo tusubiri tuone Mtanim