Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mie kuna sehemu nilimquote kisha ikafuta baada ya kuona anapiga zote. ππππAkikujibu dada akee uniite
Nilijua simuelewi peke angu
Otorong'ong'o ukuje na majibu. πππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie kuna sehemu nilimquote kisha ikafuta baada ya kuona anapiga zote. ππππAkikujibu dada akee uniite
Nilijua simuelewi peke angu
πππππ WachaaaaaaKituuuuuu......leo ni leo...wana zengo leo watajuta
Maana yake hii gemu ni nyepesi sana..kama maini....yani ingekuwa kituko kama mnyama angemaliza na zile goli mbili...Mie kuna sehemu nilimquote kisha ikafuta baada ya kuona anapiga zote. ππππ
Otorong'ong'o ukuje na majibu. πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dadaa.
Leo wasuuzwa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Hatimaye umekuja Mtani wangu.Mi Nakupenda Wewe Tu Mtani
Mie kuna sehemu nilimquote kisha ikafuta baada ya kuona anapiga zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Otorong'ong'o ukuje na majibu. [emoji23][emoji23][emoji23]
πππππππππWouzeeer wouzeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nakazia hivi dada akee Hajar anaona kweli uyasemayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kweli aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada kila mwamba ngoma lazima avutie kwake ujue. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeeeeeeee. πππππMaana yake hii gemu ni nyepesi sana..kama maini....yani ingekuwa kituko kama mnyama angemaliza na zile goli mbili...
Leo ingetakiwa mnyama achomoke na goli 7
πππππAcha dada sio kwa raha hizi ninazopewa na simba
[emoji23][emoji23]Hahahaa. Ila bakuli alihusiani na presha ujueee. [emoji12][emoji12][emoji12]
Maana bakuli linapita huku matokeo yako njema tunaanzaje kupata presha hapo. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hajar anatuombea njaa tu lakini hajui kua dua la kuku halimpati mwewe,sisi tunakimbiza mwizi kimyakimya, chezea Simba weweWouzeeer wouzeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nakazia hivi dada akee Hajar anaona kweli uyasemayo