Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Wanastahili kupendwa mdogo wangu tatizo huko presha nje nje. πππHahaha dada kwani hao mikia hawastahili japo kupendwa hata kama wanachukiwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Wanastahili kupendwa mdogo wangu tatizo huko presha nje nje. πππHahaha dada kwani hao mikia hawastahili japo kupendwa hata kama wanachukiwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatari sana Swahiba.
He he[emoji23][emoji23][emoji23] ndio Dada. [emoji85][emoji85][emoji85]
Mioyo yao ya Plastiki. [emoji23][emoji23][emoji23]
He he
Hivi mm nipo hapo dada akee
Ewaaaa huo ndio ushabiki wa kweli Dada.
πππππWoyoooooooo
Naipenda simba shabiki wa damu
Mbona pressure ipo kubwa mtaa wa jiraniHahaaa. Wanastahili kupendwa mdogo wangu tatizo huko presha nje nje. [emoji23][emoji23][emoji23]
πππDaaaah
Hahahaaaaa. Sio kweli mdogo wangu.Mbona pressure ipo kubwa mtaa wa jirani
Kweli dada nyie sindio mnapitishaga hadi bakuli mitaani?Hahahaaaaa. Sio kweli mdogo wangu.
Wachaaaa. Hivyo wanakuelewa kabisa Mtani.Simba SC ikiwa inacheza, Mtani hua nipo Off siku anacheza na siku inayofuata.
Hahahaa. Ila bakuli alihusiani na presha ujueee. πππKweli dada nyie sindio mnapitishaga hadi bakuli mitaani?
Mdogo wangu ngoja aje Mwl Kashasha. πππHivi jamani rebound ina offside?
Sifa za kijinga hiziHuu mpira wanaosakata Simba sio wa hapa aisee.....ni typically English Premier League