TPL: Simba SC vs Stand United - October, 21.

"Kumuangalia Cleoutus Chota Chama akicheza mpira hakuna tofauti na kupata bahati ya kuoga na mrembo wa dunia toka Puerto Rico,au kupigwa busu na Rihanna,jinsi anavyotakata Uwanjani ni kama kula Biriani ya Ngamia" - De Le Boss, Governor Haji Manara
 
Ndala usijishangae..

Ukijihisi kwa nyuma joto//
Tuko sisi na Juma Nyoso//
 
Nakazia Mkuu
Jangwani bana! Yaani lile pira jingi kiasi kile walilochezewa wakatisha tiketi wa Shinyanga hamakuliona na sasa mwasema magoli ya muamala! Hahahaaa, kweli akutukanae hakuchagulii tusi

Zahera mwenyewe alikiri kwa mdomo wake kua mziki wa Lunyasi si wa nchii hii kwa hiyo chakufanya ni kucheza kwa vurugu na kuwanyima watu burudani ili eti mpate USHINDI wa kulazimisha sare! Goli alilotunyima refa kwenye pambano letu na nyie Yanga pengine ni matokeo ya muamala mlioupenyeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…