OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Nipo mkuu,nilikuwa vijiji vya ndani huko. Nasimuliwa kupitia mitandao,wanasema waliofuta burudani wamepata,waliofuata pwenti wamepataYuko wapi huyu Lunyasi OKW BOBAN SUNZU
Tunashinda, lakini pia tunatoa burudani ndo falsafa yetu.. SimbaNguvuMoja
Barca watuachie huyu mido tuchukue kwanza ligi ya mabingwaDynamo midfielder anatema mate kushoto anafukia kulia ...What a Player
Barca watuachie huyu mido tuchukue kwanza ligi ya mabingwa
Absolutely mkuu, this is fantastic[emoji1][emoji1][emoji1] anatupa tunachostahili
Simba klabu kubwa inastahili watu wa Hadhi ya juu kama huyu Tripple C mwamba wa Lusaka.Absolutely mkuu, this is fantastic
Nadhani falsafa ya mwekezaji mkuu wa Simba SC ni kuiona timu ikiwa katika nafasi ya ushindani uwanjani kama zilivyo Clubs za Afrika Kaskazini, Afrika Magharibi na baadhi ya Clubs za Afrika ya KatiSimba klabu kubwa inastahili watu wa Hadhi ya juu kama huyu Tripple C mwamba wa Lusaka.

Nadhani falsafa ya mwekezaji mkuu wa Simba SC ni kuiona timu ikiwa katika nafasi ya ushindani uwanjani kama zilivyo Clubs za Afrika Kaskazini, Afrika Magharibi na baadhi ya Clubs za Afrika ya Kati
Miongoni mwa hatua alizochukua kufanikisha hilo ni kuhakikisha Simba inapata wachezaji wenye kaliba ya Chama na wenzake
Kwenye CAF Campions League msimu huu, Simba inaweza kufika mbali
Kama naanza kumkubali Mbelgiji maana alipoondoka Masudi nilikua nina wasiwasi sana kama kweli Mzungu anatosha kwa WekunduLeo hawajacheza wale tuliowazoea lakini still mpira umepigwa mwingi sanaaa.Na hii ndio tafsiri ya kikosi Kipana. Lazima tutafika mbali.
Mzungu ni mzuri ni swala la muda tu simba imeanza kurudi kwenye mstariKama naanza kumkubali Mbelgiji maana alipoondoka Masudi nilikua nina wasiwasi sana kama kweli Mzungu anatosha kwa Wekundu
Yeah, nafikiri wapenzi na mashabiki wa SSC wampe muda, nadhani mambo mazuri yanakujaMzungu ni mzuri ni swala la muda tu simba imeanza kurudi kwenye mstari
Timu bovu hilo kwa CAF Championship... hawawezi kuwafunga timu tatu kubwa za Misri..Enyimba,Tp Mazembe,LIBORO,Timu kubwa za South Africa..huwezi kukosa magoli kiasi kile alafu ukapambane na miamba ya sokaNadhani falsafa ya mwekezaji mkuu wa Simba SC ni kuiona timu ikiwa katika nafasi ya ushindani uwanjani kama zilivyo Clubs za Afrika Kaskazini, Afrika Magharibi na baadhi ya Clubs za Afrika ya Kati
Miongoni mwa hatua alizochukua kufanikisha hilo ni kuhakikisha Simba inapata wachezaji wenye kaliba ya Chama na wenzake
Kwenye CAF Campions League msimu huu, Simba inaweza kufika mbali
Simba SC ina..Timu bovu hilo kwa CAF Championship... hawawezi kuwafunga timu tatu kubwa za Misri..Enyimba,Tp Mazembe,LIBORO,Timu kubwa za South Africa..huwezi kukosa magoli kiasi kile alafu ukapambane na miamba ya soka
Yuko wapi huyu Lunyasi OKW BOBAN SUNZU
Tunashinda, lakini pia tunatoa burudani ndo falsafa yetu.. SimbaNguvuMoja
Mo salah anamwogopa Julko kuliko anavyomwogopa Sergio ramosSimba SC ina..
1. Juuko ambae alimdhibiti vilivyo mchezaji bora wa ligi ya Ubeligiji Samatta
2. MK14 ambae beki bora wa ligi ya Uingereza, Erick Bailly anaijua shughuli yake
3. Tanzania 1, Aishi Manila
4. Chama, ambae anamkalisha benchi mchezaji bora wa TP Mazembe, Kalaba katika timu ya Taifa
5. Wawa.. Beki bora kuwahi kushuhudiwa katika timu ya Taifa ya Ivory Coast.
6. Kiungo bora kwa sasa nchini, Jonas Mkude
7. n.k
Sasa hao wachezaji wa hizo timu wanatoka mbinguni?? Na michuano ya sisi mabingwa ianze.
unakumbuka Egypt walichukua AFCON back to back..bila ya kuwa na wachezaji wa Ulaya...kuna wachezaji wengine wanacheza Ulaya zari tu..mechi na Yanga shots on target 14 hawafungi..Simba SC ina..
1. Juuko ambae alimdhibiti vilivyo mchezaji bora wa ligi ya Ubeligiji Samatta
2. MK14 ambae beki bora wa ligi ya Uingereza, Erick Bailly anaijua shughuli yake
3. Tanzania 1, Aishi Manila
4. Chama, ambae anamkalisha benchi mchezaji bora wa TP Mazembe, Kalaba katika timu ya Taifa
5. Wawa.. Beki bora kuwahi kushuhudiwa katika timu ya Taifa ya Ivory Coast.
6. Kiungo bora kwa sasa nchini, Jonas Mkude
7. n.k
Sasa hao wachezaji wa hizo timu wanatoka mbinguni?? Na michuano ya sisi mabingwa ianze.
Kalaba ameisha toka wachukue AFCON miaka 6 imepita hata Mazembe hapati namba..Simba SC ina..
1. Juuko ambae alimdhibiti vilivyo mchezaji bora wa ligi ya Ubeligiji Samatta
2. MK14 ambae beki bora wa ligi ya Uingereza, Erick Bailly anaijua shughuli yake
3. Tanzania 1, Aishi Manila
4. Chama, ambae anamkalisha benchi mchezaji bora wa TP Mazembe, Kalaba katika timu ya Taifa
5. Wawa.. Beki bora kuwahi kushuhudiwa katika timu ya Taifa ya Ivory Coast.
6. Kiungo bora kwa sasa nchini, Jonas Mkude
7. n.k
Sasa hao wachezaji wa hizo timu wanatoka mbinguni?? Na michuano ya sisi mabingwa ianze.
Hujui wachezaji wanaocheza Ulaya hawapendi kuja kucheza huku ila sheria zinawabana...alafu naona hao wachezaji uliowataja hawakucheza Mwanza na Mbao,Ntwara na Ndanda na Taifa na Yanga..mechi tatu dk 270 wanashindwa kufunga goli...Simba SC ina..