Simba SC ina..
1. Juuko ambae alimdhibiti vilivyo mchezaji bora wa ligi ya Ubeligiji Samatta
2. MK14 ambae beki bora wa ligi ya Uingereza, Erick Bailly anaijua shughuli yake
3. Tanzania 1, Aishi Manila
4. Chama, ambae anamkalisha benchi mchezaji bora wa TP Mazembe, Kalaba katika timu ya Taifa
5. Wawa.. Beki bora kuwahi kushuhudiwa katika timu ya Taifa ya Ivory Coast.
6. Kiungo bora kwa sasa nchini, Jonas Mkude
7. n.k
Sasa hao wachezaji wa hizo timu wanatoka mbinguni?? Na michuano ya sisi mabingwa ianze.