Nimekuja mdogo wangu. Leo watatafutana hawaaa.Ok sawa sawa mkuu tusikimbiane tu kwa Leo wambie na machizi wenziyo Wa simba wasing'oe viti pale wapiga debe watakapo Fanya yao cc@hajar
Ngoja saa kumi ifike my sister Hakika watalala Roma mapema sana hawa mikia fcNimekuja mdogo wangu. Leo watatafutana hawaaa.
Sijui kama uzi hautakimbiwa huu.
ππππ tusubiri tuone mdogo wangu.Ngoja saa kumi ifike my sister Hakika watalala Roma mapema sana hawa mikia fc
Yah! Kwa jinsi walivyotukazia si ajabu na nyie wakawazia vivyo hivyo.Mtani nawe unaamini Stand atapata matokeo leo?
Ooohh. Tusubiri tuone ila usijisahaulishe Mtani sababu hata Mbao kakufunga ila sisi tumemfunga.Mkuu.. Sisi ni tofauti na nyie.. Na hili tutalithibitisha leo.
πππππ kwa hili lazima usahau MtaniHahaha.. Lini?
Simba nguvu mojaView attachment 905916
Wouzeeeer [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Simba Taifa Kubwa
Hahahaaaa. Nakuona Dada wa mie..Kila la heri mnyama yangu
ππππ saa hizi wanapita kimya utawaona wakiquote pale Simba ikipata bao.Simba leo lazima mkojoleshwe
Hahahaaaa. Nakuona Dada wa mie..