Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nimekuja mdogo wangu. Leo watatafutana hawaaa.Ok sawa sawa mkuu tusikimbiane tu kwa Leo wambie na machizi wenziyo Wa simba wasing'oe viti pale wapiga debe watakapo Fanya yao cc@hajar
Sijui kama uzi hautakimbiwa huu.