Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
πππ ndio Dada. πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watajuta kwanini walikacha kazi ya kupiga debePiga mikia hao
Wachaaaaaa. Kama nakuona yaani saa hizi meno yote 32 yako nje Mtani.HT: Simba SC 2-0 Stand United
Mmmh. Hata wewe mdogo wangu unashabikia Mikia. LolEmosting mnyamaaView attachment 906202
Ya legs
Ipo Korea Kaskazini
Ya Kim jong un
Ipo Korea kaskazini
πππππPiga mikia hao
Mikia tena,mbona hiyo ni kawaida sana kwao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kama Muamala haujahusika Swahiba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha dada kwani hao mikia hawastahili japo kupendwa hata kama wanachukiwa? [emoji23][emoji23][emoji23]Mmmh. Hata wewe mdogo wangu unashabikia Mikia. Lol
Hahahaaaa. Kesho job ujue Mtani.Mkuu.. Hapa mhudumu ananiongezea vinywaji tu.
πππππ Hatari sana Swahiba.Mikia tena,mbona hiyo ni kawaida sana kwao