Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Hautajutia ShunieAcha niipende simba tu mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naipenda Yanga shabiki wa daaamu. [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Penye kufurahi tufurahi tu dada maisha ndio haya haya. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu mpira wanaosakata Simba sio wa hapa aisee.....ni typically English Premier League
Hilo ndio chama la ukweli juzi jana leo na keshoNaanzaje kaka akee kwa raha inayonipa
Kituuuuuu......leo ni leo...wana zengo leo watajuta
Mmmh. Mkuu kwani we uko timu gani jamaani. Maana kama sikuelewi elewi.Simba itakuwa ni aibu kama hii gemu hamtshinda bao 4
Akikujibu dada akee uniiteMmmh. Mkuu kwani we uko timu gani jamaani. Maana sikuelewi elewi.
πππππ Dadaa.Woyoooooo
Naipenda simba mshabiki wa damu
Simba inanipa rahaaaaa shunie mm
Waiterrrr ongeza heineken nyingine
Mi Nakupenda Wewe Tu MtaniHahaaa. Wanastahili kupendwa mdogo wangu tatizo huko presha nje nje. πππ
Ukinichanja damu yangu inadondoka na maandishi ya Simba, simba simbaMmmh. Mkuu kwani we uko timu gani jamaani. Maana kama sikuelewi elewi.